It's Dangerous To Leave Or Forget A Child Alone In The Car | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It's Dangerous To Leave Or Forget A Child Alone In The Car

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lokissa, Aug 26, 2012.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa wale wazazi kama mimi ni hatari sana kumwacha mtoto kwenye gari mda wowote.
  kwa mnaongalia Oprah show yuko mama mmoja alimsahau mwanae kwenye gari asbh kwani amezoea baba yake ndie anaempeleka day care matokeo yake mtoto alikufa
  Vitu vya kuzingatia najua leo wengi mko out na familia zenu
  1 weka diapers au bag la mtoto pembeni ya kiti cha dereva.
  2 weka pochi yako au begi lako kiti cha nyuma ya gari lako
  3 uwe na mazoea ya kukagua gari lako kabla hajaingia na kabla hujashuka

  zaidi somen hapa najua watanzania wengi hatupendi kusoma bali kusomewa.
  Forget Child In Car, Do Not Leave Your Child In The Car
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kumsahau mtoto kwenye gari nilishaisikia.

  Lakini si hilo tu...vile vile wazazi inabidi muwe mnaweka funguo za gari mbali ambako watoto hawatazifikia, na msiwe mnaacha magari bila ku lock.

  Nilisikiaga stori moja tena DSM familia ilipoteza watoto wote kama sikosei...tena wakubwa wakubwa...kilichotokea ni kuwa ilikuwa week end wazazi wako ndani wanaongea watoto wakaenda kwenye gari waka wamefunga milango na madirisha...wakakosa hewa wakafa wote...nadhani walikuwa wanaishiwa nguvu bila kujua sababu kwa kuwa ni watoto.

  Imefika jioni wazazi wanaulizana watoto wako wapi...tafuta watoto, tafuta na wewe...ndio wanawakuta wamekauka ndani ya gari.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  so terrible, nlisikia pia tukio moja hapo msasani mzazi alimsahau mwanae kwenye gari
  aliingia dukani akamkuta rafikie wakapata mbili tatu akijua kaacha vioo wazi.
  tunaopenda kutembea na watoto wekends tuwe macho zaidi
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Hii kitu inatokea sana Marekani na mpaka sasa bado kabisa sijaelewa mtu unawezaje kumsahau/kumuacha mtoto wako kwenye gari.

  Karibu states zote (kama si zote) ni lazima kisheria kumuweka mtoto kwenye car seat.

  Sasa uhangaike kumfunga kwenye car seat halafu iweje tena umsahau au umuache huku wewe ukienda kufanya manunuzi ndani ya duka?

  Halafu unamsahau kama vile yeye ni kitu....

  Upuuzi mtupu. Huwaga sina huruma kabisa na watu wa hivyo.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Ila kuna wazazi wako wreckless hadi unashangaa kuwa hao watoto waliokota ama waliwazaa?
  Its very bad! Nyani Ngabu, mtoto anatakiwa akae kwenye seat yake hadi anafikisha 5 years, yeah?
  Kitu wengi wanasahau ni kuwa a kid under one year anatakiwa akae kwenye seat yake ikiwa imefungwa facing the seat so that you can keep an eye, na isitoshe airbags zitamuumiza just in case.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Too bad I remember this incident. One of the kids ali-survive kwa kuwa yeye alikuwa mkubwa kidogo. Magari ni airtight so likifungwa ni maafa. Nimeona wazazi wengi wanapokwenda dukani au supermarket wanalock milango na muwaacha watt ndani ya gari na anaacha uwazi kidogo dirisha la mbele kwa hofu kwamba akiacha nafasi kubwa mwizi aeza fungua mlango. Hyo bado haisaidii na unaweza ukapoteza mtt. Siku moja pale TSN supermarket Bamaga mdada alifanya hvyo na nikamshauri for the safety of the kid. Akaninanga na kuona kama am poking my nose into people affairs. Ni hatari sana.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tram Almas ulifanya jambo jema kumshauri
  huyo dada atakuwa wa kuja angekuwa na busara angekusikiza
   
 9. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yeah Mkuu. Alikuwa anaonekana ndo kwanza kapata hyo gari na ni gari yake ya kwanza so inaithamini kuliko hata mwanae. Si unajua kipya kinyemi japo kidonda?
   
 10. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  yesu wangu! Najitahidi kuwaza, ningejisameheje
   
 11. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  ukiacha mtoto/watoto hata kwa dakika moja uende angalia chini ya gari au buti, ukitaka kufunga milango au usipotaka always fungua madirisha ya gari kidogo wengi nimeona ya mbele au hata nyuma kuongezea ili wapate hewa.

  wengi ufungia ili wasiibiwe etc, kuacha madirisha wazi unajijua watapumua.
   
Loading...