Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

Discussion in 'Love Connect' started by Kidoma, Aug 23, 2012.

 1. K

  Kidoma Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari kwenu wana JF.

  Nimekuwa nikijiuliza kwa mda hivi ya kwamba ndani ya GT yupo mdada aliyeokoka? kama ni kweli tafadhali fuatilia maelezo haya na kama yamekugusa usisite kufanya kile ambacho moyo wako utakusukuma kufanya.

  Natafuta mchumba, nataka tuoane, ikiwa tu tuta match na fixn baina yetu na ikiwa tu Mungu anaweka kibali chake.
  IKUMBUKWE KWAMBA, MARRIAGE ARE MADE IN HEAVEN what wa do ni kuthibitisha kile kilichokwisha andaliwa.

  Unaweza kutaka ujue mimi ni mwanaume wa namna gani, usiwe na haraka, kabla ya hapo ntapenda nikufahamishe aina ya mrembo ninayemhitaji ili ukijikuta unaelekea kwenye sifa hizo then utawajibika kunijua mm ni nani na kisha tujenge mahusiano ya awali kuelekea kunako.

  Aina ya mdada huyo ni sharti awe ndani ya ABCD.... zangu kama ifuatavyo:

  SHARTI la kwanza ni LAZIMA awe ameokoka: kama mm na kama ambavyo nuru havichangamani na giza, Unaweza kutaka kupritend katika hilo but I sure it wont work out, then u better dare not.

  KIGEZO A: Age
  Napendelea kuwepo interval ya atleast 10 yrs hivi, hivyo umri wako u range kati ya miaka 25 na 35.

  KIGEZO B: BEHAVIOUR
  KIGEZO C: CHARACTER na
  KIGEZO D: DISCIPLINE
  Vigezo vyote vitatu kwa pamoja vinavunjwa na yule aliyeokoka kiukweli maana so long you are saved, you become shaped on that kwa viwango vinavyokubalika kibinadami na kiMungu. Hivyo tabia, mwenendo na adabu vinatengenezeka kwa Yesu tuu.

  KIGEZO E: EDUCATION
  Kiwango cha elimu flani si kigezo ila ni vizuri na inanipendeza kuwa na mdada flani aliyepitia kwenye vidato flani na vyuo kadhaa ikiwezekana. Actually shule ni muhimu sana kwangu. Pia si lazima awe mfanyakazi kwa sasa but ni vizuri awe kwenye position ya kuwa na kazi.

  KIGEZO F: FAMILY HISTORY
  Ntapenda nifaham familia yako kiundani dhidi ya mahusiano ya ndani na jamii inayowazunguka, Uwepo wa magonjwa ya urithi nk. siyo lazima sana lakini ni jambo zuri ninalolizingatia .

  KIGEZO: GENERAL MORPHOLOGY
  Mdada huyu ni vema awe mzuri au mtanashati na mrembo kwa kiwango cha tafsiri yangu na kiwango kile cha jumla. Ni jambo gumu kulielezea maana sometimes liko embarassing but ni zuri na linaeleweka mno kwa wengi.

  Naelewa inaweza kuwa vigumu kukupata wewe kwa kufikia 100% ya vigezo hivyo; hata hivyo, dont hestitate, vigezo hivyo will always be regulated just in case kitu LOVE kimetamalaki!

  Hali kadhalika, kwa kuwa hata wewe unaweza kuwa na vigezo vyako; nitakupa kwa kifupi juu yangu, umri wangu unaelekea miaka 40, urefu wangu ni sentimeta 165 hivi, rangi yangu nasikia ni maji ya kunde, m sijui; nimeajiriwa in medical field na pia wakati huohuo niko chuo nasomasoma flan. Kubwa zaidi ya yote NIMEOKOKA!

  PLZ, KARIBU SANA!
  Nakutegemea mno if in case umegundua tunaweza kumatch na kufixn in one another.
   
 2. M

  Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 719
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Unatafuta mke aliyeokoka, BUT Dhehebu gani hasa ungependelea?
   
 3. R

  RIVI SHIRIMA Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahah uokovu uko wa aina nyingi awe ameokoka na nn ndugu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, yaani natamani kukuchanganua, ila basi tu.

  Good luck
   
 5. M

  Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 719
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  I advice to visit Kasmatic fellowships, there are a lot beautful commited ladies BUT anyway you MUST consult GOD first.
   
 6. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mimi sifa zote ninazo lakini kwetu tuna historia ya ukichaa itakuwa kikwazo?
  Halafu mbona hujaelezea unapendelea wajihi gani, hata wenye mahips tumboni utawakubali?
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Lengo kuu haswa la kuwa na mke ni lipi?
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mimi ni Muislamu safi, niliyeokoka, sifa zote ninazo lkn ni mlokole wa kiislamu!!!
  Je ninakufaaa?? km ndiyo, twende kwa PM
  .
   
 9. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu nenda kwa kakobe ukajinyakulie wako

  ni niko na mama yako wa kichaga ajaokoka ila anajieshimu anakusalimia hapa
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  Naomba kuungana na mkuu Kongosho, hata mimi kunakitu nataka kuandika hapa ila nashindwa
   
 11. K

  Kidoma Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ahaaa ndugu, mbona nimeeleza kwenye uzi ya kwamba wokovu ni sharti no 1 but inafuata ABCDEF na G.
  Au wewe unataka umaanishe k2 gani?
   
 12. K

  Kidoma Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  sasa tedo na kongosho mnachoogopa kusema ni ninin? tililikeni mjiachie na mnipashe ikiwa mna ujumbe mahususi na mnaodhani unanifaa na hata ule wenye negative na/au hata positive criticism ikiwa mmeona inafaa!
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  mchukue bi kiroboto hana mume na kaokoka
   
 14. K

  Kidoma Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  EVARM
  Nadhan ilinifuata vizuri, sina uzoefu na uelewa na walokole wa kiislam safi nimekuwa nikidhani walokole wa kiislam ni wale waislam wa itkad au iman kali.

  kama ni hivyo, na kama matukio ya kijahidina ni kweli yanafanywa na waislam wemye iman kali itakuwa vigumu kwangu lakini kama tafsiri yangu ya mokole wa kiislam haiko sahihi na hali halisi

  plz come for pm 4 more info
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mhhhh?Sasa ndo Umefunuliwa na roho? au?maana hilo Tangazo halifanani na mtu aliyeokoka kabisaaa.....Jaribu tena baadae..
   
 16. K

  Kidoma Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Bi kiroboto si unamaanisha yule wamjengoni?
  if yes si kweli hajaolewa na wala hana mume
  ame adopt watoto 2, ana mwanaume flani kigologolo ctaki kumtaja.
  lakini mama kiroboto age yake imepitiliza kiwango cha menopause ndo maana haachi kuripuka kutokana na disturbance zza upungufu wa hormone zinazomletea stress mara kwa mara

  hivyo, bi kiroboto kwangu si mke labda awe shungamammy ambavyo vyote havina nafasi kwangu

  hata hivyo japo sina kipimo sidhani bi kiroboto kwa matukio yake ya kuretain ubunge anakidhi viwango vya ulokole!!
   
 17. K

  Kidoma Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana sayun, sijafunuliwa na roho, ninatafuta.

  hata hivyo nasikitishwa na wale wanocrictisize wanakuwa wengi kuliko wale wenye constructive ideas
  hata hivyo msisite kumwaga kile kilicho mioyoni mwenu maana kimjazacho mtu ndicho kimtokacho

  sasa mwana sayun, umeniona kabisa sijaokoka, na kwa hiyo majibu hayo umefunuliwa? au umetabiri?

  hata hivyo yuyaache hayo
  kama una sifa nilizozieleza hapo ehhe mwana ssayuni usisite kuni pm huo wasiwasi wake utaujua mbele ya safari na utaamua baada ya hapo

  sawa mwana sayun?
   
 18. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Sasa wewe ina maana hapo kanisani kwenu hao walokole
  wenzako wooote huja waona hadi uje huku???
  Utakutana na stippers humu zina jifanya zime okoka!...
   
 19. K

  Kidoma Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mandingoooo!kwanza nashukuru kwa mchango wako, very constructive. tena nashukuru kwa tahadhari kuu uliyonipa; naahidi kuifanyia kazi ingawa najua siwezi kuwa 100% ktk kukabiliana na stippers, hackers and alike.pili ni kwamba mpaka ninakuja huku, inamaanisha kwamba mwenye sifa kama hizo sijampata!Ni kitu inanipa changamoto kwa hakika.
   
 20. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mbona requirements/ criteria zinaonesha unataka asiyekuwa mlokole!
   
Loading...