Ndugu wanajamvi,leo ni siku yenu mliooa au kuolewa au unaishi na umpendaye kwa dhati kama mke na mume kufunguka jinsi ulivyopata kumuona/kukutana na mke/mume wako umpendaye hadi sasa. . . .mfano...
Hata mimi nilikuwa nikiamini katika jambo hili, kwamba watu wenye uwezo mkubwa kiakili huwa na mafanikio katika maisha. Nilikuwa nikiamini hivyo kwa sababu nilikuwa nikijua kwamba ni wale wenye...
Usimuache mpenzi wako kisa Umesikia stori fulani kumhusu kutoka kwa mtu ambaye huna hata uhakika kama stori anayosema ameiona kwa macho au nae amesimuliwa,si ajabu aliyemsimulia naye alisimuliwa...
kuna mtu alipata mimba akiwa shule akaogopa sana kuwaambia wazazi wake,kwahy akaamua kwenda hosp moja kutoa kule alipewa vidonge vya kutoa ile mimba.ila kwa bahati nzuri ile mimba aikutoka ikabidi...
Hivi mahari ina maana gani? Ina muhimu gani? Na je kiwango chake kinategemea kigezo gani? Na je imeanza lini kihistoria? Jamani hebu tulijadili hili swala maana linaelekea kuvunja mahusiano ya...
There was a aShe hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her.
She told her boyfriend, 'If I could only see the world, I will marry you.'
One day, someone donated a...
Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?
These are the type of women we should be marrying....Modern women -
It is a myth that when a son gets married and a new daughter-in-law arrives in the family, everything changes.
Some...
Sina uakika kama haya maneno yanatumika kama inavyotakiwa... kwa udadisi wangu na baada ya kusuluisha ndoa mbili tatu... nimegundua watu wengi waliokua kwenye mahusiano sanasana wanandoa wanatumia...
Nilosimuliwa...
Kuna dada mmoja hivi yupo kwenye ndoa mwaka wa sita huu sasa, lakini hana amani na ndoa yake yani na amani inavunjika kwa sababu ya mumewe kupenda mechi za nje, yani yeye...
Nurse has 100 orgasms a dayA NURSE is plagued by a medical condition that gives her up to 100 orgasms A DAY.
Kim Ramsey, 44, feels constantly aroused and the slightest movement can trigger a...
Ngoja niyadadavue malalamiko ya wanawake kwanza hapa chini:
1. Wanawake wanalalamika kwamba wanaume sio waelewa wazuri, yaani huwa wanatafsiri mambo tofauti na isivyo.
2. Wanalalamika kwamba...
Hivi karibuni nimesoma utafiti katika makabrasha yangu kuhusiana na maradhi mbalimbali yanayowakabili wanawake walioko kwenye ndoa au uhusiano wenye mashaka. Tafiti zinaonyesha kwamba, wanawake...
Wote Waafrika na wazungu ni binadamu ila wenzetu wamekuwa wakifanya mambo ya kipekee sana kiasi hata sisi(waafrika) bila wao tusingeyafikilia chukulia mifano mingi sana ihusuyo Technology,twende...
A couple have been charged with disturbing the peace because they made too much noise during sex.
Jessica Angel and Colin MacKenzie had been issued with an order requiring them to prevent...
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
Mipango ya kuchagua mwenzi wa maisha (mke au mume) hapo mwanzo ilihusisha familia, jamii, tamaduni na asilimia 80 ya tamaduni zote duniani zilifuata huo mfumo ambao ulijulikana sana kama arranged...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.