Nilisalitiwa miaka 12

Zuwely salufu

Senior Member
Oct 7, 2012
105
20
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?
 
ndugu yangu embu jipange upewe ushauri, wewe umepost kitu kitakachokuletea maswali mengi kuliko majibu
 
Kama dini yako inaruhusu muowe la hairuhusu mueke nyumba ndogo na usimulize kwanini alikukimbia ila mwambie akukimbie tena akipata mwengine bora kuliko wewe babu nanihiliu inama ufikiri.............
 
Ina maana unataka uachane na mkeo urudiane na huyo mpenzi wa zamani??
 
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?

hapo kwenye blue na red unataka kufanyaje kuoa mke wa 2? hakuna haja ya yeye kukuelewa labda kama nawe unataka kuendeleza
 
Acha mambo ya ajabu mwambie umemsamehe ila kurudiana haitawezekana basi
yaishe,wakati mwingine hawa watu huwa nawaambia kwamba watu hawaachani
bali wanatengana tu angalia sas
 
nahisi bado unampenda! fanya kama wanaume wengi wafanyavyo hapa tanzania, including mkulu wa kaya, alijivutia kitoto cha mwenye ASAS maziwa iringa cku nyingiiiiiiiiiii na mtoto wanaye. so na we fuata ya waasisi! period!
 
Duh miaka yote hiyo.
Binafsi ilikuwa week tu juzi anataka kurudi nikasema sitaki tena bila kupindisha maneno

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jitahidi kuwa na msimamo na utii wa kupenda..JE,leo usiku mkeo akija kukuomba ushauri kuwa nae kuna mtu anamsumbua waliachana nae miaka 12 anataka warudiane,,utajisikiaje?
 
dawa yake moja tuu...mwambie nenda muulize wife kama yupo ready kufanya threesome au muuombe tigo
 
Hahahaaaa! SAY NO TO KULISHWA LIMBWATA NA ULOZI!!!! Tulia na mkeo, ya dunia hutoyaweza!!!!!
 
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?
Huyo anataka umfanye awe wa kupashia misuli kabla hujafika home
 
nahisi bado unampenda! fanya kama wanaume wengi wafanyavyo hapa tanzania, including mkulu wa kaya, alijivutia kitoto cha mwenye ASAS maziwa iringa cku nyingiiiiiiiiiii na mtoto wanaye. so na we fuata ya waasisi! period!

Wacha wee! Kwa hiyo Mkulu ana katoto kachotara, hakajagombea Nec?
 
Ingiza namba yake kwenye block list! ukishindwa mpige life time ban kama anakutumia PM
 
Yaani umeshaoa halafu unakaribisha habari za X wako? Awe kama mke au kama nani? Au na wewe unampenda kuliko mkeo? Kama unampenda oa wa pili kama dini inaruhusu!!!!
 
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi nifanyeje?

Tumia DUME.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom