Ukisoma mpaka mwisho itakusaidia(kopi na kupesti)

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,185
[h=5]NDUGU MARAFIKI
Inahuzunisha lakini kuna
fundisho kuu kwetu
sote. “Nilipofika nyumbani usiku
ule, mke
wangualiponitay arishia chakula,
nilimshika
mkono na kumwambia, Kuna kitu
nataka
nikwambie.Mke wangu alikaa
chini na kula
chakula kimya akiwa tayari
kunisikiliza.
Tenanikagundua macho yake
yalionyesha
anaumizwa. Nilishindwa hata
namna ya
kuanzakufumbua kinywa changu.
Lakini
ilibidi nimwambie ili ajue nilikuwa
nikifikirinini juu yake.
Nataka kukupa talaka. Nilianza
kusema
kwautulivu. Alionekana
kutokereka na
maneno yangu badala yake
aliniuliza kwa
sautiya upole ‘kwa nini?’
Sikumjibu swali
lake. Kutojibu kulimfanya
akasirike.Akatu
pa
kijiko na akanikaripia, ‘wewe si
mwanamume!’ Usiku ule,
hakukuwa
namaongezi kati yetu. Alikuwa
akilia kwa
kwikwi. Nilifahamu kwamba
alitaka kujuani
nini kimetokea kwenye ndoa yetu.
Lakini
kwa hakika nisingeweza kumpa
jibuwala
sababu ya kuridhisha; alionekana
si mali kitu
kwangu penzi langu lilihamiakwa
Mary.
Sikumpenda tena mke wangu
mawazo yote
yalikuwa kwa Mary. Kwa
kwelinilimdhara u
mke wangu!
Huku moyo wangu ukijua wazi
kwamba
nafanyakosa, niliandika talaka
ambayo
ilionyesha kwamba yeye (mke
wangu)
angepatanyumba yetu, gari na
atakuwa na
hisa 30% ya kampuni yetu.
Aliangalia talaka
ilena kuichana vipande vipande.
Mke ambaye tumeishi nami kwa
miaka
10alionekana mgeni machoni
mwangu.
Nilimuonea huruma kwa muda,
rasilimali
nanguvu alizopoteza lakini
sikuweza kurudi
nyuma kwa sababu Mary aliuteka
moyowangu
kisawasawa. Hatimaye mke
wangu alilia kwa
sauti mbele yangu, jambo
ambalokwa hakika
nilitarajia. Kwangu mimi kilio
chake kilinipa
nafuu.
Wazo la kuachana na mke wangu
limenisumbuakwa majuma
kadhaa na sasa
limeendelea kuimarika na kuwa
jambo la
hakika zaidi.
Siku iliyofuata nilikuja nyumbani
kwakuchelewa sana nikakuta mke
wangu
akiandika jambo mezani.
Sikutamani hata
kulachakula alichonipikia
nilikwenda moja
kwa moja chumbani na usingizi
ulinichukuamara moja kwa
sababu nilikuwa
nimechoka baada ya kula raha za
kufa mtu na
Mary
Usiku nilishtuka usingizini mke
wangualikuwa bado akiandika.
Sikujali kabisa
nikajifunika vyema shuka na
kulalatena.
Asubuhi yake alinikabidhi
masharti ya talaka
yake: hakutaka kitu
chochotekutoka kwangu
lakini alihitaji apate angalau
mwezi mmoja
wa kujiandaa kablahajaachika .
Akaomba
kwamba katika kipindi hicho cha
mwezi
mmoja sote mimi nayeye tujitahidi
kuishi
maisha ya upendo au kawaida
kwa kadiri
itakavyowezekan a.Sababu yake
ilikuwa
ndogo lakini muhimu: mwanetu
wa kiume
alikuwa akikaribiakufan ya
mtihani katika
mwezi uliofuata kwa hiyo
hakupenda mtoto
aathirikekisaik olojia kwa sababu
ya
kuachana kwetu. Hili halikuwa
tatizo
kwangu,nilikuba li mpango wake.
Lakini
alikuwa na sharti la ziada,
aliniomba
nikumbukejinsi nilivyombeba siku
za
fungate yetu hasa siku ya harusi
yetu.
Akaniomba nakunisihi kwamba
katika
kipindi hicho cha mwezi mmoja
niwe
nambeba kutokakitandani kwetu
mpaka
mlango wa kutokea kila asubuhi.
Nilidhani
anakaribia kuwakichaa. Ili
kufanya siku zetu
za mwisho zisiwe na migogoro
nilikubaliana
namasharti yake ya ajabu.
NilimsimuliaMar y kuhusu
masharti
yakuachana na mke wangu. Mary
alicheka
sana, aliona ni ujinga. ‘Hata
akitumiaujanja
wa namna gani talaka ni lazima’,
alisema
Mary tena kwa dharau. Mimi
namke wangu
hatukuwahi kugusana tangu
nilipomweleza
dhamira ya kumtaliki. Kwahiyo
nilipombeba
kwa mara ya kwanza sote
tulinuniana.
Mwanetu alifurahi sana nakupiga
makofi
nyuma yetu, ‘aah baba kambeba
mama
mikononi mwake’. Maneno
yakeyalinichoma
moyoni moja kwa moja. Kutoka
chumbani
kwetu hadi sebuleni, halafutena
mpaka
mlangoni, ni zaidi ya mita kumi
nimembeba
mke wangu. Alifumba machona
kusema kwa
sauti laini na ya upole;
usimwambie mwanetu
juu ya talaka.Nilikuba li kwa
kichwa, ingawa
nilijisikia vibaya. Nilimuweka chini
nje
yanyumba.
Alienda kituoni kusubiri basi la
kazinikwake
nami nikaendesha gari kwenda
ofisini
kwangu. Siku ya pili, zoezi
lilikuwarahisi
kwetu sote. Aliegemea kifuani
pangu.
Nilisikia harufu nzuri ya
uturialiofukiza
kwenye blauzi yake. Nikagundua
kwamba
sijamuangalia kwa makini
mkewangu kwa
kipindi kirefu sana. Nikagundua
hakuwa binti
tena. Kulikuwa namikunjo usoni
na nywele
zake zilianza kuwa nyeupe! Ndoa
yetu
imekula urembowake. Kwa dakika
moja
nikafikiri kwa nini namfanyia hivi.
Siku ya nne nilipombeba hisia za
mapenzikati yetu zilirejea. Huyu ni
mwanamke aliyejitoa kuishi nami
na
tumeishi kwamiaka kumi sasa.
Siku ya tano
na ya sita ilikuwa wazi kwamba
mapenzi
yetuyalikuwa yakimea upya.
Sikumwambia
Mary kuhusu jambo hili. Kadiri
mweziulivyokari bia kwisha
niliona raha
kumbeba mke wangu na zoezi
likawa
rahisizaidi. Pengine kufanya kazi
hii kila siku
kuliniimarisha zaidi.
Alikuwa akichagua nini cha kuvaa
asubuhi.Alichag ua mavazi
kadhaa hakupata
linalomfaa. Kisha akaguna, ‘nguo
zangu
zotezimekuwa kubwa’.
Nikagundua kwamba
mke wangu amepungua sana,
nadhani
ndiyomaana niliweza kumbeba
kirahisi.
Ghafla jambo likanichoma... mke
wangu
anauchungu na maumivu makuu
moyoni
mwake. Bila kujitambua
nikamgusa kichwa
chake.Mara mtoto wetu akatokeza
na kusema
‘baba ni wakati wa kumbeba
mama
muendekazini’. Kwake kumuona
baba
akimbeba mama likawa ni jambo
la furaha
sana. Mkewangu alimuonyesha
ishara
mwanetu asogee karibu na
akamkumbatia
kwa upendomkuu. Niligeuza uso
wangu nisije
nikabadili mawazo katika dakika
ya
mwisho.Kisha nikambeba
mikononi mwangu
kutoka chumbani, sebuleni halafu
mpakamlangoni. Mkono wake
laini ulikuwa
umeizunguka shingo yangu kwa
upendo.Nilimkum batia mwili
wake; ilikuwa
ni mithili ya siku ya ndoa yetu.
Lakiniwepesi
wake ulinitia mashaka.
Siku ya mwisho nilipombeba
nilipata
shidahata kupiga hatua moja.
Mtoto wetu
alishakwenda shuleni. Nilimshika
kwa
karibuna kumwambia sikubaini
kwamba
maisha yetu yalikosa upendo.
Nikaenda
zanguofisini…. Nikashuka garini
hata bila
kufunga mlango. Maana nilihisi
nikichelewatu ninaweza kubadili
nilichoamua.... nikapand ngazi.
Mary
alifungua mlangonikamwamb ia,
‘Samahani,
Mary, sihitaji tena kumtaliki mke
wangu’.
Akaniangaliakwa kustaajabu,
halafu akagusa
kichwa changu. Akaniuliza
‘Unaumwa?’
Nikaondoamkono wake kichwani
kwangu.
‘Samahani, Mary, nimesema sitaki
kumtaliki
mkewangu. Nadhani ndoa yangu
haikuwa na
furaha kwa sababu sikuthamini
undani
wamaisha yetu, mimi na mke
wangu, si
kwamba hatupendani.
Nimetambua hilo
tangunilipombeb a siku ya ndoa
yetu
nilitakiwa kumbeba siku zote za
maisha
yetu,nampenda mke wangu
sitamuacha
mpaka kifo kitakapotutenga
nisha.’
Ikawa kama Mary alizinduka
usingizini.Akan
izaba kibao cha nguvu,
akajiegemeza
mlangoni na kuanza kulia.
Nikashukangazi na
kuondoka zangu. Nikaingia
kwenye duka la
maua nikaagiza maua
mengimazuri kwa ajili
ya mke wangu. Muuzaji akaniuliza
aandike
nini kwenye kadi.Nikatabasa mu
na kuandika
“Nitakubeba kila asubuhi mke
wangu mpaka
kifokitakapotut enganisha”. Jioni
ile nilifika
nyumbani na maua mikononi
mwangu,tabasamu kubwa usoni
nikakimbia
mpaka chumbani, nikapokelewa
na maiti ya
mkewangu kitandani.
Kumbe mke wangu alikuwa
akisumbuliwa
nasaratani kwa miezi kadhaa
nami
nilishindwa kubaini kwa sababu
nilihamishiaaki li yangu kwa
Mary. Alijua
kwamba angekufa karibuni na
alitaka
asiniingizekati ka chuki na
mwanetu kama
ningelazimisha talaka mapema.
Angalau machoni mwa
mwanangu naonekana
nimume mwema….
Jamani vitu vidogo vidogo vizuri
ni
vyamsingi sana katika mahusiano
yetu... Siyo
majumba au magari au fedha
zilizokokwenye
benki. Hivi vitakupa tu mazingira
ya kufurahi
lakini vyenyewe siyofuraha. Kwa
hiyo jitahidi
kuwa na muda mzuri na
mazingira rafiki ya
kuwa namwenzi wako, kuwa
rafiki wa mwenzi
wako. Fanya vitu mlivyofanya
wakati
wauchumba na wa ndoa yenue
ambavyo
vitawaweka karibu siku zote.
Muwe na
ndoayenye furaha. Mara nyingi
watu
hushindwa katika ndoa kwa
kutotambua ni
kwakiasi gani walikuwa karibu
wakati wa
kujenga uhusiano wao
Mungu awabariki nyote mliosoma
nakujifunza hapa[/h]
 
yaah wala si utani!ndoa hujengwa na vitu vidogo sana lakini vya muhimu ajabu!ahsante kwa somo zuri!
hata hili la kuiarrange hivi hii habari na kufanya watu tusome neno kwa neno aya hii ndefu nayo ni aina ya fundisho kuwa tunapaswa kuwa wavumilivu kwenye magumu!:A S 465:safi umetumia methodology nzuri!
 
aliyeisoma yote atusamaraizie jamani.... daaahhh!!!!!
 
Mkirua we isome hibyo hivyo bana mpaka hawa jamaa waweze kuiedit au mweka thread aiedit

Nzuri sana na yafaa sana kwa mafundisho
 
Last edited by a moderator:
duuuuuuh!
snowhite nisumerizie shost wangu
au nihadithie,nimeishia nusu.....

bora angeweka kwa upana!

ntarudi badae...........
 
Nimeisoma yote na kuelewa vema,ina mafunzo kwa wanaume wote wanaodhani wake zao hawana maana baada ya kuwa nao kwa muda mrefu na kufanikiwa kimaisha.
 
kweli hii ni nzuri, somo limeeleweka kwa watu, hongera kwa kuelimisha jamii, mara nyingi upendo wa uchumba unaishia siku ya kufunga ndoa kwa pande zote mbili, siku ya siku unaanza kutafuta pengine na yanayokukuta mabaya kuliko maelezo Jinsi zote tuwe makini kbs.
 
kipya kinyemi ingawa kidonda, na usisahau uu .....nini kweli , kwa msala upitao
 
Hata kama itarudiwa mara nyingi ni faida kwa wengine ambao hawakusoma, hasa kwa wanachama wapya.
 
Wa2 wengi hawapnd kusma sijui kwa nini kuna hekima nyngi sana kwenye maandsh. stori ni nzuri sana ubarikiwe ulyeilta, 2na mambo mengi ya kujfnza
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom