''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sarikoki, Oct 8, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
  Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
  Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
  Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
  Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hata upande wa pili wa shilingi ni hivyo hivyo
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  i only salute my dear hubby others are just little frek,mi mbona sijawahi msaliti mume wangu???????
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  :shock::shock::shock:
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unashangaaa mböna katika top 10 yangu top 8 ni wakina Mrs. Fulani
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani na wababa utakaowakuta kati ya mia tisini na tisa wanatoka nje ya nchi?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Khaa kumbe ulikua unaongea na Barmaid?
   
 8. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Hapo ndio ungembana huyo mama akueleze vizuri.
   
 9. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Thank you so much Amsterdam.... i do the same to my wife. Namuamini asilimia zote... inauma sana usikie wife anagongwa nje.... ni nouma
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sio wote tunatoka nje ya ndoa.....hayo ni mawazo yake yeye huyo baa medi.....
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  tutake radhi bana!
   
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeona enh!
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  naona mkeo kamegwa nje unakuja kujipoozesha machungu humu
  wapo wengi tu waliotulia kwenye ndoa zao tena wengi tu
  mfano mama yangu
   
 14. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hapana ukweli hapo

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 15. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana ni dada yake mangi...soma vizuri
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red nadhani ulikuwa na maana ya ndoa,ila ukweli ndiyo huo hata kwa wababa
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kiswahili kimebuniwa na maneno ya kulainisha lainisha ukali wa sentesi lol!
   
 18. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Smile.. haijawai nitokea hiyo.....na pia kama ni kutafuta mapoozeo sio hapa ila na mimi ningetafuta nyapu za nje nigonge kama dawa vile X3 kwa siku na zote lazima ziwe tofauti.... yaaani asubui demu mweusi....mchana demu mweupe.... na usiku demu aliyejichubua mpaka mirija ya damu inaonekana au albino kabisa...
   
 19. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  ahhhhhhhh
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yah....kuna pia bamedi.....vp hiyo.....?
   
Loading...