Likizo ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Likizo ya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBONGOMKUTI, Oct 9, 2012.

 1. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Nimetumia muda mwingi kutafakari mahusiano ya wapendanao hatimae ninashawishika kuamini kuwa kuna haja ya kwenda likizo ya mapenzi kwa wapendanao. Jaribu, kufikiri busara ya kuwepo kwa likizo Shuleni, Vyuoni, Ofisini na kwingineko. Likizo zitasaidia wana ndoa kutafakari mustakabali wao pia kujirekebisha uhenda hali ya upweke wa kuwa peke yako ikaongeza chachu ya penzi na thamani ya mwenza wako!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  very very true
  wanasema 'how will i miss you,if u always here'?

  so kupeana space na kupunguza kuwepo husaidia mno
  watu ku miss ana na kutamaniana....

  so ni true hii kitu ni muhimu...
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  akhu mi likizo sitaki sitaki!ili kiwe nini?hiyo vacation muende wenyewe!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mtoa mada, vipi unajiona kama umechokwa au wewe ndiyo umemchoka mwenzi wako, hivyo unahitaji ku-renew? Mimi wangu sitaki nimpe nafasi asilani.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, kazi kweli kweli
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  love suffocation ?lol
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,295
  Likes Received: 13,004
  Trophy Points: 280
  Jamani wanandoa hutakiwa kuwa pamoja kumbuka Adam na Hawa walipotengana kilichotokea kila mtu anafaham

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Hhahahah Snowhite ni mambo ya kujinafasi tu
   
 9. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hahahha duh ww umeua kabisa
   
 10. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Duh wangu hataki nikae mbali nae japo mara nyingi ninapo kuwa mbali nae ndo huwa nina m-feel kinoumaa
   
 11. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kwa mwanaume inawezekana lakini hawa dada zetu sidhani kama wanaweza.. Ni idea nzuri
   
 12. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Pamoja saaana Broda ila sema wenzetu huwa wanapata hisia plus wasi wasi kuwa tunaenda kubadilisha mboga
   
 13. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Issue ni kuaminiana tu
   
 14. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  tatizo ndio liko hapo..
   
 15. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Best unafikiri ni rahisi kumchunga Bin - Adam mwenye akili zake timamu? Ni ngumu saaana najua ni majaaliwa kumpata mwenza alietulia pia msikivu. Kikubwa ni kujengeana mazingira rafiki yenye heshima na upendo
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kama ni suffocation kwa hiyo ndo ukatafute pa kupumulia!ah sitaki haya matani!yani mambo ya mahabaty mi najua unataka muwe benet sasa haya ya kuhis umebanwa mpka utafute pa kupata hewa safi lazima kuna tatyzo hapo!
   
Loading...