Sichagui, Sibagui atakayenizika simjui...!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,982
12,703
Kuna watu linapokuja suala la mapenzi sijui wamerogwa....!!
Kuna mpangaji mwenzangu hapa yeye hachagui mwanamke wa kufanya naye mapenzi machangudoa, mahouse girl, mama lishe, wauza mboga, wafanyakazi wenzake wa kike (hawa ndio anawabadilisha kama nguo). Mbaya zaidi anafanyia hapahapa katika nyumba aliyopanga (bahati nzuri mwenye nyumba haishi hapa tupo wapangaji tu) na wakati mwingine anamalizia haja zake vichakani hasa na mahousegirl. Hawezi kupitisha zaidi ya siku mbili bila kulala na mwanamke.
Tumejitahidi kumshauri japo awe na staha lakini amekuwa akitujibu kuwa SICHAGUI, SIBAGUI ATAKAYENIZIKA SIMJUI.........
 
Katavi na hali hii ya mdudu alivyo na kasi kama roketi kuna mtu anachezea uhai wake hivyo
mwache sisimizi watakavyoingia kwenye sukari haitafaa tena kw amatumizi ya binadam
atajikuta anajuta maana majuto si ya leo ni mjukuu
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu linapokuja suala la mapenzi sijui wamerogwa....!!Kuna mpangaji mwenzangu hapa yeye hachagui mwanamke wa kufanya naye mapenzi machangudoa, mahouse girl, mama lishe, wauza mboga, wafanyakazi wenzake wa kike (hawa ndio anawabadilisha kama nguo). Mbaya zaidi anafanyia hapahapa katika nyumba aliyopanga (bahati nzuri mwenye nyumba haishi hapa tupo wapangaji tu) na wakati mwingine anamalizia haja zake vichakani hasa na mahousegirl. Hawezi kupitisha zaidi ya siku mbili bila kulala na mwanamke. Tumejitahidi kumshauri japo awe na staha lakini amekuwa akitujibu kuwa SICHAGUI, SIBAGUI ATAKAYENIZIKA SIMJUI.........
Jamaa ako noma yeye anacho jali ni k imradi ni mwaamke, akikosa siku mbili anakuwa na ukame balaa
 
Huyo ana afadhali kuna jirani yangu ni mwalimu pale IFM, anavyovisasambua vibinti vyanafunzi vya hapo IFM inasikitisha... Kama hiyo haitoshi, vibinti vya mtaani navyo si salama, maana anavyovipanga foleni, hata sijui anatumia MKUYATI AU MZAKARU...
 
Mungu hutumia watu kama hao kuwa mifano katika jamii,tusimlaumu maana mwisho wake litakuwa ni somo zuri kwetu na wale wote watakaokuwa wamecheza nae kidalo po.
 
1. Sex is a beauty treatment. Scientific tests have shown that a woman who has sexual relations produces big amounts of estrogen which makes hair shiny and soft.

2. To make love in soft and relaxed way reduces the possibilities of suffering from dermatitis and acne. The sweat produced cleans pores and makes the skin shine.

3. To make love allows to burn all the calories accumulate is this romantic love scene.

4. Sex is one of the safest sports. It strengthens and notifies all body muscles. It is more enjoyable than doing 20 lapses in the pool. And you don't need special shoes !

5. Sex is an instantaneous cure against depression. It frees endorphins in the blood flow, creating a state of euphoria and leaves us with a feeling of well-being.

6. The more we make love, the more we have the capacity to do more. A body sexually active releases a higher amount of pheromone. This subtle aroma excites the opposite sex !

7. Sex is the safest tranquilizer in the world. IT IS 10 TIMES MORE EFFICIENT THAN VALIUM.

8. To kiss everyday allows to avoid the dentist. Kisses aid saliva in cleaning teethes and lower the quantity of acids causing enamel weakening.

9. Sex relieves headaches. Each time we make love, it releases the tension in brain veins.

10. To make love a lot can heal a nasal congestion. Sex is a natural antihistaminic. It helps fight asthma and spring allergies.
 
Kuna watu ngono wamefanya kama chai...na ukichunguza zaidi hii ni dalili ya umaskini!
Unawezaje kutenga muda wako kama kila wakati unawaza ngono tu???
 
Huyo ana afadhali kuna jirani yangu ni mwalimu pale IFM, anavyovisasambua vibinti vyanafunzi vya hapo IFM inasikitisha... Kama hiyo haitoshi, vibinti vya mtaani navyo si salama, maana anavyovipanga foleni, hata sijui anatumia MKUYATI AU MZAKARU...
Huyu nafikiri al;ichagua hii taruma ya ualim mahususi kwa kazi ya kudadavua vimwana.
Labda ni vile vidada vya marks ? Vile huwa vinajitongozesha, hata kama mwal angekuwa mgumu vipi vinamfundisha.!
 
Huyo ana afadhali kuna jirani yangu ni mwalimu pale IFM, anavyovisasambua vibinti vyanafunzi vya hapo IFM inasikitisha... Kama hiyo haitoshi, vibinti vya mtaani navyo si salama, maana anavyovipanga foleni, hata sijui anatumia MKUYATI AU MZAKARU...

The more we make love, the more we have the capacity to do more. A body sexually active releases a higher amount of pheromone. This subtle aroma excites the opposite sex
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aiseee,hii story hii mmh.
Kuna mtu alikua jirani yangu sehem flani niliyo panga
alikua hivi hivi,.....lakini pale hakukua na mtu mwenye
haiba ya Katavi ,so huyu ni mwingine sio anae muongelea katavi.

Nacho sema ni kwamba,watu wa aina hii wapo wengi sana.
bora kuoa tu mapema duh.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee,hii story hii mmh.
Kuna mtu alikua jirani yangu sehem flani niliyo panga
alikua hivi hivi,.....lakini pale hakukua na mtu mwenye
haiba ya Katavi ,so huyu ni mwingine sio anae muongelea katavi.

Nacho sema ni kwamba,watu wa aina hii wapo wengi sana.
bora kuoa tu mapema duh.

Ha ha ha haaah!! Speaker mtu kama huyu anaweza kuoa lakini akaendelea na tabia yake kama kawaida japo anaweza kupunguza kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Hamna bwana hii mambo ni umri tu maana hata jamaa yangu mmoja
yuko hivyo hivyo nafikiri kuna muda tu ukifika atabadilika wala sio ishu ya
kushauri au nini
 
kipe kitu roho inapenda...jamaa kweli amesema ukweli hamjui atakaye mzika koz kwake kifo nje nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom