maisha ya ndoa

muluvigwa

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
263
84
kwanin baada ya wanandoa kuishi pamoja kwa muda hupoteza hamu yatendo landoa? kama walikuwa wakipiga magoli 3,4,5 huishia moja wakijitahid 2?
 
tendo la ndoa halina kanuni mkuu!na linaboreshwa au kuathiriwa na vitu ving sana !
 
hakuna kitu kama hicho
nafikiri wanandoa hao ambao wanaishia round moja na kulala hawana ubunifu kwenye kufanya mapenzi au kuna tatizo kati ya wanandoa
Kwenye ndoa unatakiwa kuwa mbunifu kila siku na kutofanya sex kuwa mazoea
yaani ubuni style mpya, sehem mpya za kufanyia tendo lenyewe, kuwa na hamu na mweza wako wa ndoa kila siku
Unatakiwa kuifanya ndoa yako as if jana yake ndo mmeoana na sio kuchokana na kufanya tendo kimazoea
Kuwa mbunifu na mfanye mwenzako awe na hamu na wewe kila siku
 
Du ntahitaji ufafanuzi, kwa kawaida mke wako ambae unashinda nae ndani jamani yanatakiwa mabao mangapi kwa wastani.Mimi mawili asubuhi au hata moja asubuhi then mawili usiku is enough tena hapo ni mpaka baada ya siku moja au siku mbili tena
 
hakuna kitu kama hicho
nafikiri wanandoa hao ambao wanaishia round moja na kulala hawana ubunifu kwenye kufanya mapenzi au kuna tatizo kati ya wanandoa
Kwenye ndoa unatakiwa kuwa mbunifu kila siku na kutofanya sex kuwa mazoea
yaani ubuni style mpya, sehem mpya za kufanyia tendo lenyewe, kuwa na hamu na mweza wako wa ndoa kila siku
Unatakiwa kuifanya ndoa yako as if jana yake ndo mmeoana na sio kuchokana na kufanya tendo kimazoea
Kuwa mbunifu na mfanye mwenzako awe na hamu na wewe kila siku

....kama ulikuwepo kichwani kwangu aisee...sina la kuongeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom