Nimewaweka mademu sita on hold | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimewaweka mademu sita on hold

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kijana Msomali, Oct 8, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Helllo My People

  Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....


   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hao sita kama ni wa jf
  ni mmoja tu ana id ishirini...
  kazi kwako lol
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha The Boss umejuaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Hao sita unahakika gani kama wako peke yako? unakula nawenzio sahani moja inama ufikiri .....................?????
   
 5. K

  Kijana Msomali Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The Boss

  Sita kati ya hao , wawili ni mtaani na wa nne ni kazini.....humu JF siwaami kabisa may be AshaDii
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hii ndo jf
  unaweza sema nina vubuzi/mademu kumi jf
  kumbe mtu mmoja anaku enjoy tu na id zake lol
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,018
  Trophy Points: 280
  Inamaana huwezi kuws trusted ndio maana una wengi binafsi huwa sioni umuhimu wa watu wengi on my back ambao nawadanganya

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni kosa sana kumwamini mwanaume
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tofauti gani kati madada poa na hao ambao hawajajitangaza rasmi?
   
 10. K

  Kijana Msomali Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Smile

  Tiririka Mwaya.......Kosa Langu Ni Lipi Hapo
   
 11. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  hata hao ni madada poa kwako...hujui tu...umeshikwa masikio
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeonae?.......chezeiya jf wewe lol!
   
 13. K

  Kijana Msomali Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Scofied

  Sina Mahusiano Nao Hao Sita...They are Interested But Am Not....Nimewaweka ON HOLD
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  upuuuzi mtupu
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Una hakika gani kama hao wa kazini na mtaani sio memba humu jf?
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heheheh muulize kwa hiyo anatakaje?......lengo la uzi wake ni nini????
   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kupima ni hatua moja na maisha baada ya kupima ni hatua nyingine,wengi wanadhani wakishapima ndio tiketi ya kwenda kujiachia,mtakufa vibaya maana virus wakati mwingine ndio vinakuwa vimeingia na havijasambaa hivyo si rahisi kuonekana,haya mwenzangu unaenda kupima nae leo na unajiachia mwanzo mwisho ujue kaburi la mapema linakukaribia.

  Kuwa na wanawake sita si ujanja na ni kujiweka katika hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa.
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  jetuko wangapi? Ndo hiyo sasa wenyewe mmeona. Na kila demu na yeye kwa hold wanaume wa tano na wewe wa sita, kaa ukijua ngoma droo hapo mwana
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nyimamadogookumanga!
   
 20. K

  Kijana Msomali Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sweetlady

  Naona umeungana na shosti wako Smile kunishambulia......Lengo La Thread Hii Ni Kushangaa majamaa desperate wanaotafuta Dada Poa Wakati mm nina wazungusha na kuwapotezea kama mademu sita hivi.....
   
Loading...