Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa alifukuzia demu kwa muda wa mwaka mmoja. Siku moja demu akamcall na kumwambia nimekubal na ninaomba tuonane, walipokuwa wakikaribiana kama umbali wa mita 20 ghafla gari lilikosea njia na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasalimia... Mchumba ninayekaribia kumuoa(early next year) ni mjamzito wa miezi michache ya kwanza. Mahari ilikwishatolewa, sasa tuko kwenye vikao vya harusi/sendoff. Tatizo sasa; dakika moja...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Habar wakuu! Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu. Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Am currently______ ______ 1.Widowed 2.Divorced 3.In a happy relationship 4.In a crappy relationship 5.Pushing with my best friend 6.Pushing with my random person 7.Engaged 8.Happily...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Natanguliza salamu kwa wana jamvi wenzangu, Kuna mama hapa mtaani kwetu ana mahusiano ya kimapenzi na rafiki yetu mmoja, baada ya kumuweka chini huyu rafiki yetu kumtaka aachane na huyu mama...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Naomba kuuliza kwa sababu wengine tuna uhusiano na wanawake wenye watoto wanaolingana umri na sisi au wanatuzidi kidogo au tunawazidi kidogo kama Baba yako labda alifariki au ulilelewa na single...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
In The Citizen Newspaper of 14/10/2012, there is an interesting article, a long one but somewhere it says ''Marriage is like a cage in which some birds have been caught and are trying hard to get...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Juhudi katika utafutaji wa kipato.Kutokana na mahitaji kuongezeka katika miaka ya karibuni,inalazimu mwanaume na mwanamke wote kwa pamoja washiriki katika kujiongezea* kipato ili kujitosheleza...
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Sikupanga kutupia kitu leo but sio issue nimeona tuanze week na hili swali...Kusema ukweli nimeshindwa kupata kiswahili chake ..lakini labda tu niliweke hivi..'Benefit of doubt comes when it means...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Usiusaliti moyo wako Leo nataka tuzungumzie kiapo mwanzo wa uhusiano, ambapo wengi hawakifahamu au hawajui kinatumika wakati gani. Wengi wamevunja viapo vya mapenzi na kujikuta wakigeuka mateso...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Kuna mwalimu mmoja hapa Tunduma-Mbeya alioa mke ambaye tayari alikwisha zaa watoto wawili na mwanaume mwingine.Asubuhi tulivu,wameamka salama,mke kapokea simu,mara ghafla akadondoka...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita. Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu...
56 Reactions
294 Replies
22K Views
Hodi hodi humu ndani!!!! Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu! :focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She...
5 Reactions
86 Replies
6K Views
Nafahamu maisha ya ndoa yana furaha na machungu yako(UP and DOWN),mabinti kwenye kitchen party huwa wanaelezwa kwa mapana na marefu juu ya maisha ya ndoa na uvumilivu wake nimemwomba mungu na...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Enzi zetu sisi ndoa zilikuwa hazivunjiki! Mimi na bibi yako tumekuwa tunagombana lakini usiku ilikuwa lazima tupatane! Tukiamka asubuhi tu wapya mapenzi yanaendelea kama vile hakuna lililotokea...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Hatukuwa na vita kali sana na mke wangu, isipokuwa tatizo lake lilikuwa tukikorofishana kidogo zinaweza zikapita wiki mbili hadi tano anazira kuzungumza nami. kwa kweli hii tabia yake...
23 Reactions
56 Replies
6K Views
Wana MMU niaje? kuna MDADA nilimwita sehemu, tuka chat kwa muda, then finally nikaanika yaliyomo moyoni....a-z, mdada akajidai kashtushwa na niliyomweleza akitanabai kuwa hakutarajia mimi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni Miezi Miwili Sasa Toka Niachane Na Msichana Kipenzi Cha Nafsi Yangu, Chanzo Ni Kwamba Hakutaka Nisikiliza Na Kunishirikisha Katika Uvaaji Wake Wa Suruali Na Kunywa Pombe Pale Nilipomzuia...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Mi 22 udsm dent, am gud luking, sijui kutongza. Nahitaji msichana mzuri, awe chuo chochote dar. Dini yeyote, . Uwe unahadh ya kuwa na mimi. My number 0774553278
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hali ya hewa mjini Dodoma imebadilika, wanachuo wa vyuo karibu vyote wamefungua na hivi sasa wamejaza guest house zote za hapa mjini, yani ni mwendo wa wawili wawili (Pairs) tu, eti wanadai kila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…