kutoka nje ya ndoa

mak89

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
1,072
914
Natanguliza salamu kwa wana jamvi wenzangu,
Kuna mama hapa mtaani kwetu ana mahusiano ya kimapenzi na rafiki yetu mmoja, baada ya kumuweka chini huyu rafiki yetu kumtaka aachane na huyu mama anasema eti mama anasema huwa hafikishi na mumewe kwahiyo huwa anataka huduma karibia kila siku na ukizingatia mama kazi yake ni kusimamia miradi ya familia na muda mwingi yupo huru na ndo ana tumia ku-mingle na kijana.
Huyu mama yupo kwenye ndoa na mumewe kwa takribani miaka kama ishirini hivi na ana watoto wapo sekondari, hivi kwanini ameshindwa kumueleza mumewe kama hafurahii tendo? Huyu jamaa tumeshauri inaonekana ni "stiffnecked" jamani naombeni ushauri wa mwisho kwa huyu jamaa yasije yakamkuta mwengine.
NOTE
Huyu jamaa nae hajatuli kabisa.
 
Watam-barlow, ndio atakoma! Chezeiya mke wa mtu weye? Ipo siku wallah!
 
Mwambie aendelee kumfikisha, maana hata na huyo mme wa huyo mama atakuwa nae analalamika hafikishwi na huyo mmama..
 
haya majimama haya yatakuja kuwaponza walahi!huyo rafiki yako analo analolitafuta na muda si mrefu atalipata!
 
mwambie mwisho wake hauko mbali na aangalie yasimkute yale ya yule RPC, SACP...
 
mke wa mtu mtamu wewe ebu wacha mwenzio ajienjoy kwa raha....si mama kataka dozi ya vijana ndio anapewa sasa.

cha kumshauri ni kwamba amuombe tigo huyo mama maana jamaa akikamatwa ataliwa yeye tigo
 
Ikishindikana na njia ya MASELE hapo juu andaa fumanizi

Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat
 
Last edited by a moderator:
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat

Nunua line mpya umtumie huyo mzee ujumbe au umpigie umwambie kila kitu hadi siku ya fumanizi....
 
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat

Eti unasema anajiheshimu ... unaongeza sana? (hapo kwenye rangi) kama angekuwa anajiheshimu asingelifikia hapo ... nimekushtukia niwewe mwenyewe unakula huo mzigo! unazuga watu acha hizo bwana..............

 
Aisee sasa alikutuma umtafutie shauri - labda na yeye pia kashindwa kumfikisha atakapo, hahah
 
Back
Top Bottom