Kupenda mateso

Jun 16, 2012
55
7
Jamaa alifukuzia demu kwa muda wa mwaka mmoja. Siku moja demu akamcall na kumwambia nimekubal na ninaomba tuonane, walipokuwa wakikaribiana kama umbali wa mita 20 ghafla gari lilikosea njia na kumgonga, alikimbizwa hosptal na kugundulika amevunjika nyoga yaani chni na juu hakuna mawasiliano baada ya kupona demu akamkataa akijua hawez kazi tena bt leo anamtaka mpaka ameamua kuwahusisha wazaz ,afanyeje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom