Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Oct 12, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza kwa sababu wengine tuna uhusiano na wanawake wenye watoto wanaolingana umri na sisi au wanatuzidi kidogo au tunawazidi kidogo
  kama Baba yako labda alifariki au ulilelewa na single parent au wazazi wako wameachana halafu ikatokea unaishi na mama yako au unamtembelea mara kwa mara na ikatokea kuna lijamaa mara nyingi linakuwa na mama yako beneti,yaani muda wote wamegandana japo huambiwi chochote kuhusu huyo jamaa lakini common sense itakuambia huyu jamaa ananitafunia mama yangu
  utafanya nini utamchukia jamaa utampiga mkwara kama mama hayupo au utamweshimu au utamezea na kujifanya hakuna kitu kinaendelea?
  kama una ndugu zako wengine wa kuzaliwa na nyie wote ni mature utaongea nao either kuwapigia au kwa kutania na kuuliza huyu jamaa anayekuwa na mama ni nani?
  je utaendelea kumweshimu mama yako?halafu ikitokea siku ukaamka usiku ukasikia miguno kutoka chumbani mwa mama utafanya nini???da!
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  nitamuheshimu kama mama yangu maana yeye ndiye aliyenizaa ila hilo lijamaa lazima nilivizie nilikate nyeti zake, nyambafu zake
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Kitendo cha huyo mwanamke kuwa mama yako haina maana ya kumuamulia namna ya kuutumia mwili wake!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  aaah mkuu,sasa kama mama yako ana furaha na unamwona kabisa ana enjoy yaani,kwa nini ufanye hivyo,your mother shes happy
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa anakuhusu nini?Kwanini kitendo cha mama yako kuwa na mahusiano unadhani kinakuhusu?
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mi nadhani heshima inatakiwa itawale tu hapo, kama mama anawaheshimu vilivyo hamna haja ya kufuatilia nyendo zake, anatoka na nani or jamma mbona youpo close na mama. wewe yako macho cha msingi ustaarabu, kama vinginevyo sawa waweza kumuonya kupitia watu wazima wenzake.
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Akili ya mwanamke mda mwingine ni ndogo kama jicho la mbuni sio wote lakini kwa hiyo inawezekana na hilo lijamaa limemurubuni mother
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Binafsi sioni kama kunatatizo as long as wenyewe wameridhiana na wanapendana.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa kawaida watoto wengi wa kiume huwa wana "wivu" sana wakiona mama yao ana jitu lingine lisilo baba yao. Watoto wa kike mara nyingi huwa hawajali.

  Ila kwa mimi ktk issu kama hii ya mada, nitaangalia lijamaa limekaakaaje. Kama linamheshimu mama na linatuheshimu sisi watoto wake mama basi hakuna shida. Mi sitajali. Shida: unaweza kukuta jamaa hajiheshimu au pengine uwepo wake unamfanya mama asijiheshimu kwetu. Hapo nitamtoa yule jamaa benzi. Ah,
   
 10. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  sasa unataka mama yako asiwe na uhusiano na mtu mwingine wkati baba yako hayupo? kwani huyo baba yako ni wewe ulimchagulia?
   
 11. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mmmh kuna mama namsugua nashukuru ana watoto wa kike tu yani mabinti wa umri wangu wananiheshimuje.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kama akifanya hivyo, haibadilishi ukweli kwamba mama ni mama tu. Hayo mengine hayanihusu.
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wapi huko,tanzania au kenya?
   
 14. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 805
  Trophy Points: 280
  episodes,swali lako baya sana!kwa ambao mama zao wanashughulikiwa na kina "episodes" nadhani wanaumia sana bila kujali hatua wanazochukua!

  wewe episodes huna mama?jenga picha hiyo mwenyewe uone inavyokera
   
 15. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Katika hali ya kawaida huwezi kuwa na furaha.Hii inatokana pia na ukweli kuwa Maadili yameporomoka sana.Mzazi mzima hata kama una tamaa za kimwili kwanini usiwe na mtu ambaye mnaendana kwa rika ,lakini pia anakuwa mtu mwenye heshima.Sasa unategemea mimi nikutane na kijana sharo baro ambaye nimemzidi umri eti ,ndio baba yangu wa kambo lazima kuna siku "ntamtikita" tu.Lakini pia turudi kwa hawa vijana ni akili gani inakufanya utembee na mtu wa umri wa mzazi wako?Lazima utakuwa na akili ya matope.Katika jamii na maadili tuliyolelewa kila mtu mzima ,anastahili heshima na ni kama mzazi wako.Sasa wewe unaweza tembea na mzazi wako?
   
 16. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Kwa raha zake kwani na mama pia anabaki kufurahia maisha kama Mimi,kanilea kanisomesha sasa huoni Kama kanipaa zawadi kubwa duniani? Sinachakumlipa zaidi ya kumuombea dua na Kama jamaa anamfurahisha why not...
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hivi ina maana mama yako hana haki ya kupenda tena?
  Hana haki ya kusonga mbele na maisha yake?

  Hapo ni kuacha ubinafsi tu.... Na kuheshimu hisia na maamuzi ya mama yako
   
 18. M

  My Mud Senior Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  angalia usije ukala mkia wa kuku na mikia ya vifaranga vyake ooh
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Nitakata mtu kengele, nyambafu.
   
 20. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Umeona eh
   
Loading...