Naoa baada ya mwezi mlioko kwenye ndoa nasaha zenu please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naoa baada ya mwezi mlioko kwenye ndoa nasaha zenu please

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by satellite, Oct 4, 2012.

 1. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nafahamu maisha ya ndoa yana furaha na machungu yako(UP and DOWN),mabinti kwenye kitchen party huwa wanaelezwa kwa mapana na marefu juu ya maisha ya ndoa na uvumilivu wake nimemwomba mungu na naendelea kuomba kukabiliana na changamoto,mlioko kwenye ndoa mna experience nzuri ya maisha ya ndoa yalivyo na challenge zake pse mnaweza kushare nami challenge mlizokutananazo ili nami naetarajia kuingia kwenye huo ulingo niweze kuzikabili kama mlivyoweza nyie.

  Nawakilisha!
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ina llah maaa sabirin :poa

  Uvumilivu kitu muhimu sana :amen:
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Aliyekudanganya mabinti kwenye kitchen Party huwa wanafundishwa mambo ya ndoa ni nani? Kitchen Party ni sherehe ya kukusanya vyombo na vya plastic havitakiwi na Wanawake kushindana kukata mauno uchi. kungekuwa na mafundisho ya ndoa basi ndoa nyingi zingenusulika zisisambaratike.
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  or..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,131
  Likes Received: 12,838
  Trophy Points: 280
  Huwa najiuliza inakuwaje mtu ameishi kwao kwa miaka mingi ila akikaribia kuolewa ndio anaenda fundishwa awe na tabia njema nadhani its time for change

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri mkuu, ningefurahi kama ningepata kadi ya mualiko kwa niaba ya JF team!
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu matola nakubaliana na ww na ninalifaham hilo ila zipo familia zenye staha zinazofanya kitchen party kama sehem ya wosia ingawa zipo chache
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Jitahidi hela isikauke ndani.
   
 9. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu Fazaa you have made me smile,i like da soul song
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  King Kong umesomeka mkuu yaani nilivyosoma hadi nikacheka
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ndoa hazifanani ndugu yangu....

  Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

  Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

  asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

  Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

  Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
  Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

  Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

  Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

  Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikupe BACHELOR PARTY bwana kaka, ukifuata haya, UTAZEEKA NA MKEO!!!!!

  1. Mwanaume asifiwi SURA, ila UNENE wa WALLET na Bank ACC!!! Epuka KUFULIAAA! Utaitwa MWANAUME SURUALII!
  2. Mwanamke hapigwi KOFI anapigwa na Lesswig au kiatu cha bei mbaya!
  3. Fanya juu chini UMNUNULIE MKEO USAFIRI!!!! Barabarani nuksiiii!
  4. Mwanaume hajibizani wala hapayuki, yeye KIMYA tuu na MATENDO!!!! Mkeo akikugombaaa usiondoke nyumbaniiii, mbebe juu juu kamalizieni hasira kitandaniiii!
  5. Mwanaume si Mshindaniiii, MPE MKEO USHINDI WA MEZANIIII!!!!! Hapo utajiepusha na kukosa unyumba kwa siku kadhaa!
  6. Mwanaumeee shurti UMZIDI MKEO AKILI, haswaa kwenye ugomvi mdogomdgo, dawa ya moto ni majiii!

  NI HAYO TUUUUU!
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  We dogo, nikikupa ushauri utakuwa unahusiana ninachokijua kuwa kinafaa. Unfortunately, kitahusiana na mke wangu (na wengine wote watahusisha na wake zao). So, una mpango wa kumuoa mke wa nani humu? Kama unamuoa mwanamke tofauti basi mkajifunze (wewe na utakaemuoa) pamoja. Kwani utakaemuoa ameomba ushauri hapa vile vile?
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Leo sijisikii kusema mengi, ila cha msingi kumbuka yale mambo mazuri yaliyokuvutia kwa mtarajiwa wako na yale ambayo yeye pia alivutiwa na wewe na akakupenda kwa hayo, myadumishe na kuyaimarisha maana haya ndiyo msingi wa upendo wenu na ndoa yenu.

  Uvumilivu, kuheshimiana, kusaidiana, kuaminiana, kushirikishana, kutokusikiliza majungu ya watu na ndugu nk hayo huja kujaziliza tu hilo jambo nililolitaja hapo juu.

  Nakutakia ndoa njema yenye upendo, furaha, mafanikio na isiyochakachulika!
  All the best.
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Una akili sana wewe,halafu nikwambie kitu? You are my type of a woman!
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Alleluhya.
  Wote semeni Eimen!
  Ahsante mama mchungaji,umesikika.
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Roger Dat.
   
 18. S

  Sukula JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kila ndoa ina challenge zake,hivyo usitegemee kukutanana the same challenges wanazokutana nazo wenzio,ht hivyo usijiaminishe sn kuwa kila ndoa lazima iwe ni msalaba kwa wahusika kwsbb unaweza kukuta ikawa tofauti kbs kwako. By the way all the best na Mungu akutangulie sn.
   
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,229
  Trophy Points: 280
  Trust is everythng btn u 2
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  si unajua kuwa mimi penda hii enh!mi wala siongei satelite chukua hii!itunze iishi!
  SALA muhimu na LAZIMA!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...