Mkaka, good looking, sweet, civilized, msomi na anaejielewa company yake inahitajika !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkaka, good looking, sweet, civilized, msomi na anaejielewa company yake inahitajika !!!

Discussion in 'Love Connect' started by lara 1, Oct 14, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hodi hodi humu ndani!!!!

  Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu!

  :focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She was outside the market for too long, she has forgotten the husttles!!!! LOL! Sasa mimi nataka kumuonesha there are FEW GOOD MEN LEFT!!! LOL!

  Anatakiwa mtu ambaye maybe nae yuko bored na maisha anahitaji company, au hajabahatika kupata the one( its worth a trial), au nae kapewa cha mbavu soon! na ANGEPENDA kuenjoy new company ya huyu dada, for chatting na kubadilishana mawazo tu! Mkielewana mengine mi simoooo!(U never know till you know) LOL! Purpose kubwa ni WEWE HUNA MTU ANAEKUKIP BUSY, NAE YUPO BORED, SASA NYIE HAPO MNAKIPIANA BUSY.Ishu ni kuwa friends na kupunguza boredom!!!!!

  SIFA ZA MDADA!!!
  Good looking, si mnene wala si mwembamba.
  Ana kaelimu ka degree,
  Ana kakazi cha kubadili mboga
  Mcha Mungu!!!(sio lara 1 zee la kuchop chop)
  Interesting (Huboreki ukikaa nae)
  Good mannered (Sio wa kishua, ila sio wa uswazi)
  Anaheshimu kila mtu.
  Age 24yrs, Weight 64Kg, Height ya kati

  MKAKA ANAYETAKIWA
  Good looking( LAZIMA UJIAMINI MWENYEWE)
  Msomi
  Kazi muhimu
  Mcha Mungu (sio mzugaji)
  Good Mannered
  Anaejielewa (sio kuwaza game tu mda wote!!!)
  Mwenye busara zake
  Age 25 to 30, Tall.

  IF YOUR INTERESTED PM ME, NA MSHAWISHI KUWA YOU ARE THE COMPANY!!! LOL! COZ TUKO NAE HAPA ATAKUWA ANASOMA NA AKIRIZIKA ATAKU PM NAMBA YAKE!!! LOL!

  WALE MBA ( MARRIED BUT AVAILABLE!!!!!) HAMHITAJIKI!!!!!! LOLEST!!! Divorced, engaged, in relationship, HAMHITAJIKI PIA!!! LOL! Hatutaki kesi sie!!!!

  Fake IDS hazitazingatiwa LOL!!! Manake mtu ID ya dily unaibana unafungua moja fasta!!!!

  PM YAKO NI SIRI !!!!!(Unless U Dont Care)!!!!!

  MTAONUNA MNISAMEHE BURE LEO JPILI NIPO IN CHARITY WORK OF SAVING THE WORLD!!!! LOL!!!

  PM ZIMETOSHAAAA!!! BAAAAAAAAAAAAAAAASS!!! ZOEZI LIMEFUNGWA RASMI!!!!


  NASHUKURU SANA KWA WOTE MLIO PM!!!!! MMETISHAAAAAA! PAMOJA NA WAOSHA VINYWA WA JF KUPONDA NA KULETA QUANTUM MECHANICS KWENYE THREAD ILI KUWAKATISHENI TAMAAA, ILA MMEPROVE KUWA NYIE NI FREE MINDS!!! LOLEST!!! HAMUENDI NA UPEPO!!!

  SHUKRANI ZANGU ZA DHATI ZIWAFIKIE MLIO VUNJIKA MBAVU KWA KUCHEKA, NA MLIOCHUKUA MDA WENU MUHIMU JAPO KUTIA NENO, HATA KAMA NI DONGO!!! I REALY APPRECIATE THE LOVE N HATE YOU SHOWED.

  NISIPOWASHUKURU GUESTS WOTE WALIOTUPIA MIJICHO YAO HUMU, JAPO HAWAKUCOMMENT ILA WAMESHAWISHIKA KUJIUNGA JF NITAKUWA MKOSEFU WA FADHILA!!!!

  MWISHO KABISA NATOA CHANGAMOTO KWA WATUMIAJI WA JUKWAA HILI! UKIWA NA SHIDA NA MTU WE TAFUTA BILA WOGA, USIKURUPUKE NA LINE 2, WEKA BANGO, NA UTAPATA THE STANDARDS YUO WANTED, WALA USIYUMBISHWE NA WAOSHA VINYWA!!! ITS YOUR LIFE U CHOOSE HOW TO LIVE IT!!!!!

  BWANA AWE NANYI JIONI YA LEO!!!!! LOLEST!!!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  age mbona hukuweka?

  age ya mdada?

  ya mkaka?
   
 3. k

  karatta Senior Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  u r not sereous
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimeshaonana na wengi wa aina hii na huwa nakuwa disappointed sana
  Mwambie anitumie picha yake nione kama twaweza enda second phase
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wewe nae ujio wako, mnh! Sio wa verse moja
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa kukumbusha, tumeweka tayari!!! LOL!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  all the best
  niko disqualified mno lol
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Lara 1 Nikisema goodlooking uje hata kama nimekosea si kiasi cha kudisapoint. We subiria PICHA huku PM zinagongana!!! LOL! Company tuuu picha ya nini? Ukiona picha unaweza apply for hidden motives
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Bora ulivojitoa manake kuna watu wana PM kukupendekeza utafaaa! LOLEST!!!! Hahahaaaaaa! NINGESHANGAA SANA KUKUAMINIA KOTE KAMA UNGEKUWA MBA!!!!
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,314
  Trophy Points: 280
  Mi bana Mzee wa Hit and Run,
  Nina sifa zote hizo lakini sijui kwanin sipendi kudumu na demu muda mrefu. Yaani soon atarudi hapa kutafuta tena.

  Mi yananifaa magumegume kama wewe, just for pleasure, no committed relationship.
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Why!!!! Watu wanatafuta waume humu, itakuwa a friend? Ishu ni kuwa mtu yupo bored, wakati watu humu pia wapo walio bored!!! Sasa kuna ubaya gani wakikutanishwa wakapunguza BOREDOM na kumake the earth a better place!
   
 12. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Picha ya msingi maana kuna ambao nimekutana nao na wana sura za kiume zaidi yangu.:lol:
  Mambo gani hayo sasa.
   
 13. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kila la kheri nadhani wakipatikana wenye sifa stahiki zaidi ya mmoja Lara 1 utachukua looseball.Simo!
   
 14. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa nimepata PM 7,mbona kazi ninayo :fish:
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahhaaaaaaaaaaa! Shark bwana! Wewe FUPA LIMEWASHINDA FISI WEWE MMBWA CHIWAWA UTALIWEZA KWELIIIII!!! WE IGA KUNYA KWA TEMBO!!! LOL! Bora hata ungekuwa GERMANSHERPHAD angalau!!!!
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Kumbe upo in your own fishing!!!! LOLEST! Zina PICHA? Lazima nguvi za KIILUMINANTI ZIMEHUSIKA!!!! LOLEST!!! Wenzio wanajua FREEMANSON!!!
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Game ya kitoto kweli kweli :biggrin:
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mkaka wa sifa hizo
  huwezi kuwa bored lol

  labda uwe ugly saana
  otherwise uko full booked most of time lol
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Wapiiii ndugu yangu! Mi siunajua ni CCM DAMU sasa UFISADI UPO DAMUNI!!!! LOL! Ni mwendo wa KUCHOP CHOP, alafu hawa CDM si unawajua walivo wagumu !!!!! Loose ball wataanzisha thread zao na vigezo kama hivi! LOL!
   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! NOT ACCORDING TO STATISTICS ZA PM HAPA!!!! LOL!
   
Loading...