Am gud luking guy. I want a cute gal from udsm

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
842
1,363
Mi 22 udsm dent, am gud luking, sijui kutongza. Nahitaji msichana mzuri, awe chuo chochote dar. Dini yeyote, . Uwe unahadh ya kuwa na mimi. My number 0774553278
 
hivi kuwa good looking kuna liwa?
pia umejikompea na nani hadi useme wewe ni gud lukin?

istoshe ni dent hivi hujui mapenzi ni sumu ya masomo( halinihusu)

unampimaje mwenye hadhi????? wewe ya kwakoa ikoje?

kiukweli umekiri upungufu wako kwamba hujui kutongoza............kajipange uje upya na swanga za kutosha lol!..........kwa staili hii miaka 800 hupati demu labda milupo.
 
Mi 22 udsm dent, am gud luking, sijui kutongza. Nahitaji msichana mzuri, awe chuo chochote dar. Dini yeyote, . Uwe unahadh ya kuwa na mimi. My number 0774553278

angalia usije kuombwa no ya simu na wanaume wenzako lol!!
 
dume rijali mwenye testeron hawezi kuandika 'i'm gud looking'. So, fix it before they conclude you're full of estrogen
 
Ha kumbe wewe mwanaume??
Hayamungu baada ya kuona mada yako unawalinganisha joket na sinta nikajua wewe ni demu
mhhhh nina mashaka na wewe
kwqeli kabisa "am good looking"haya bana subiri wataalamu wachukue namba yako waifanyie kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom