Je ndo kunikubali au zuga?

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
Wana MMU niaje?

kuna MDADA nilimwita sehemu, tuka chat kwa muda, then finally nikaanika yaliyomo moyoni....a-z, mdada akajidai kashtushwa na niliyomweleza akitanabai kuwa hakutarajia mimi kumwambia yale niliyosema na mizunguko mingi ya kike... nikajaribu kuongeza nyama nilipohisi kuna mifupa....sister akadai ooh jibu analo na hata wakti naanza kurusha kete jibu alikuwa nalo ila anashindwa kuliweka wazi...nkamwambie kuna majibu mawili, YES, NO na wakti mwingine PENDING Y/N....kwa sababu muda ulikuwa umeenda akadai PENDING Y/N akiaidi ataniabie usiku.... tulipokuwa njia home maongezi nilihisi kuwa kama ya mtu na mwenzi wake maana mara nilaliwe, nitake kubebwa na vingine vingi.... usiku akanitumia sms....nanukuu ....naomba ili swala tuliongelee kesho.... nkamwambia poa....akashukuru sanaaa! kesho yake sikumkumbusha ila ana nitumia sms zilizotulia sana tofauti na zamani, na niwapo kwa miangaiko hasiti kuniambia maneno yenye matumaini tele...
jamani ndo probation period ama?
 
mwambie twende tukafanye matusi usikie atafurahijeeeeeeeeeeee

mmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh! nivea? ntaambiwa kumbe wataka apple tuuu, wakti mwenzako nilijicommit namuitaj ktka life!
 
Yani kusoma hujui na picha nayo tukutafsirie?
Unasubiriwa wewe tu hapo hamna probation wala nin! Ni ku njunji tu....
 
Wana MMU niaje?

kuna MDADA nilimwita sehemu, tuka chat kwa muda, then finally nikaanika yaliyomo moyoni....a-z, mdada akajidai kashtushwa na niliyomweleza akitanabai kuwa hakutarajia mimi kumwambia yale niliyosema na mizunguko mingi ya kike... nikajaribu kuongeza nyama nilipohisi kuna mifupa....sister akadai ooh jibu analo na hata wakti naanza kurusha kete jibu alikuwa nalo ila anashindwa kuliweka wazi...nkamwambie kuna majibu mawili, YES, NO na wakti mwingine PENDING Y/N....kwa sababu muda ulikuwa umeenda akadai PENDING Y/N akiaidi ataniabie usiku.... tulipokuwa njia home maongezi nilihisi kuwa kama ya mtu na mwenzi wake maana mara nilaliwe, nitake kubebwa na vingine vingi.... usiku akanitumia sms....nanukuu ....naomba ili swala tuliongelee kesho.... nkamwambia poa....akashukuru sanaaa! kesho yake sikumkumbusha ila ana nitumia sms zilizotulia sana tofauti na zamani, na niwapo kwa miangaiko hasiti kuniambia maneno yenye matumaini tele...
jamani ndo probation period ama?

Yawezekana aproch uliyoitumia ni ile ya kizamani ya kusema....... "Nikioga nakuona kwenye ndoo ya maji........." Siku hizi kutongozana hakulazi, ni kupeana za uso kama hataki basi unashika njia. Achana na habari za kizamani bwana.
 
Me naona ushakubaliwa teyari,siunajua sometime silence means YES???
 
soma vitendo vyake, jaribu kumtoa out sehemu kama beach hivi n.k.
mkiwa mwatembea wawili jaribu uwe wamshika mkono.
utatambua jibu la moyo wake kwa reaction atayokuwa akikupa.
"maneno matupu hayavunji mfupa"
 
Yawezekana aproch uliyoitumia ni ile ya kizamani ya kusema....... "Nikioga nakuona kwenye ndoo ya maji........." Siku hizi kutongozana hakulazi, ni kupeana za uso kama hataki basi unashika njia. Achana na habari za kizamani bwana.

miwatamu jamani! sera zilikuwa barabara mithili ya Mnyika jukwaani Ubungo Maziwa, na ilikuwa jicho kwa jicho mtoto hana cha aibu wala woga kuangalia macho ya Simba mwenye Kiu! Kulaza kweli siku hizi hakutakiwi ila nilibanwa na muda maana simu za home zilikuwa nyingi (namfahamu vema kwani tunakaa karibu kitaa)....
 
soma vitendo vyake, jaribu kumtoa out sehemu kama beach hivi n.k.
mkiwa mwatembea wawili jaribu uwe wamshika mkono.
utatambua jibu la moyo wake kwa reaction atayokuwa akikupa.
"maneno matupu hayavunji mfupa"

ati....ntajaribu Watu8 nione mambo!
 
Back
Top Bottom