Wanachuo warudi dodoma, guest zote zimejaa

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Hali ya hewa mjini Dodoma imebadilika, wanachuo wa vyuo karibu vyote wamefungua na hivi sasa wamejaza guest house zote za hapa mjini, yani ni mwendo wa wawili wawili (Pairs) tu, eti wanadai kila mtu alim-miss mwenzake lol! Kwa wenye myumba za kulala wageni umefika wakati wa kuvuna, maana wapo wa short time na wale wa kukeshea kabisaa! Kwa hali ilivyo, sijui kama vita zidi ya UKIMWI inaweza kushinda!
 
Tatizo ni kamji kadogo, ila kwa Dar hii effect haionekani kabisa.
 
Ha
kumbe na wewe unaendaga guest?
Hapo utakuta mtoa mada jibaba likubwa na wajukuu anao
 
Hali ya hewa mjini Dodoma imebadilika, wanachuo wa vyuo karibu vyote wamefungua na hivi sasa wamejaza guest house zote za hapa mjini, yani ni mwendo wa wawili wawili (Pairs) tu, eti wanadai kila mtu alim-miss mwenzake lol! Kwa wenye myumba za kulala wageni umefika wakati wa kuvuna, maana wapo wa short time na wale wa kukeshea kabisaa! Kwa hali ilivyo, sijui kama vita zidi ya UKIMWI inaweza kushinda!

Umekagua Guest zote au ume Assume,na kutaka kuwapaka matope vijana...
 
Boom nalo LIMECHANGIA!!!!!!!!! Wape 3 weeks watajaza vichaka soon
 
kama ni kweli mtoa maada nae alikuwa anatafuta nini?, huyu alitafuta short time akakosa, full time akakosa, au atasingizia alikuwa anafanya ka-research, !!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom