'Benefit of doubt within the love '..Are you always the victim or the winner??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Benefit of doubt within the love '..Are you always the victim or the winner???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SnowBall, Oct 14, 2012.

 1. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sikupanga kutupia kitu leo but sio issue nimeona tuanze week na hili swali...Kusema ukweli nimeshindwa kupata kiswahili chake ..lakini labda tu niliweke hivi..'Benefit of doubt comes when it means to trust someone though your instincts go against it and giving him/her the benefit of the doubt'
  Tukatae tukubali..hii inatokea sana kwenye mapenzi..mfano mwenzio anaweza kuwa na uhakika mkubwa kuwa umemtenda...but kwa kuwa ushahidi ni hafifu anaamua tu yaishe na wewe mtendaji unasherehekea kimoyomoyo..Bahati mbaya ama nzuri guys wanakuwa sana on the winning side..na girls are always the victims..probably kwa sababu guys tunajieleza sana..but my question is..if this keeps on for a long time how is the sustainability of love???..Hivi ni lini tutainjoi hizi benefits of doubt???..Lakini na nyie wadada kama mmeamua kusimamia jambo kwa nini usilisimamie mpaka mwisho ili upate ushahidi uliothibitika ili tufanye maamuzi sahihi kulikoni unaibua jambo ambalo mwishoni huwezi kulisimamia hatimaye tunabaki kuishi huku kiroho kinakudunda??????
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Very good thread

  kwanza 'hiii benefits of the doubts' kwa wabongo hatuna kaabisaaa

  sio kwa wapenzi tu hata kwa mengine....


  kwa wabongo 'you are guilty until you prove yourself innocent'.....
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  i never be a victim.subiri my kaka nimalizie hili jukumu la ndoa ntarudi ,hivi umeoa kweli wewe,hii si ndio muda la kwanza kwikwikwi
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mmmh! Cjawah experienc hyo kitu.
   
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Umeonaeeh The Boss yaani maisha ya mapenzi yamekuwa kujieleza tu kila kukicha..
  Unakuta mtu anaraise issue haina ushahidi na anataka akukamate..mwishowe unakula benefit of doubt kama umesimama!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Kweli situation hiyo ipo sana! Ndo maana mimi NAPINGA UENDESHAJI MASHTAKA WA KUULIZANA UKITEGEMEA MTU ACONFESS!!! NEVER!!!! GONA!!!! HAPPEN!!!! Ndio maana nashauri UKIMUHISI MUMEO USIPANIC, ENDELEZA UCHUNGUZI WA KIMYA KIMYA HADI UPATE GROUNDS ZA KUTOSHA KUMCONNER!!! NA ENOUGH EVIDENCE YA KUMCONVICT THE ACCUSED!!! LOL! WITHHOLD EVIDNCE HUKU UKIIACCUMULATE !!!! Siku ya trial hana pa kutokea, hence it is proved beyond reasonable doubts kuwa he is guilty as hell!!!
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  Avery useful thread SnowBall,
  but hivi wadhani sisi wanawake wa kiswahili tunahizo benefits of doubt?
  Umeshawah kujiuliza mara ngapi may be umeona wadada wanalia kisa labda kaambiwa mumewe anamcheat pasi hata yeye kuthibitisha basi ana draw conclusion?
  Nimeona mtu analia siku tatu mfululizo tena pasi uhakika wa anacholia but anajua tu kamba hapa ni kweli.

  Tatizo kubwa tulilo nalo ni hatuwaamin wapenzi wetu hasa wa kiume na ubaya wowoe ule utasukumiwa kwa mwanaume wa kibongo. Tena utakuta tunapfarijiana mmh wanaume wote baba mmoja mama mmoja wote wako hivi so mtu anaishia kuish kwa ushuhuda wa kushindwa wa mtu mwingine........i hate this.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  dah, ishanitokea mara kbao
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wabongo tujifunze huu ustaarabu wa 'benefits of the doubts'
  sio kuanzisha ugomvi kumbe ni hisia zako tu
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  lara 1 wangapi wanaweza kuuphold ushahidi ili akileta case iwe na guts??
  Wengi kama alivosema The Boss tunaamini wenzi wetu ni wakosaji kwa hiyo tunachotafuta ni lini tutawakamata..unaishi na mtu huku unamtegeshea.......lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Its true my dada gfsonwin maneno ya kuambiwa naona siku hizi yana nguvu sana kuliko hata imani aliyonayo mtu kwa mpenzi wake....wakati mwingine unajiuliza kama huyu mtu alikuwa haniamni kwa kiwango hiki alikubalije niwe mtu wake??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu unadhani wanaoteseka sana na hii na kitu na wepi??
  Manake najua guys tunaweza weka kiporo case hata mwaka...unazichanga karata zako taratiibu tu....ila i am not that much sure kwa African context!!!!
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  were u the accuser or an accused?
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  umesahau kwamba mpambe ana nguvu kuliko mwenye mali? hii ndo inayowaumiza wengi wetu.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  hii kitu inaumiza mahusiano meengi
  unahukumiwa na kusomewa mashtaka daily
  kumbe hakuna lolote
  hisia tu
  wabongo hawajui 'to give someone the benefits of the doubts'
  wanataka uape kwa misahafu kuwa uko innocent
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  nakubaliana sana na wewe kak yangu, yaani mwanaume hadi aanze kumuaccuse mkewe aisee ni mpaka keshafanya uchunguzi tena kaja na evidence mkononi, tena anakushika utamu wallah unakosa pa kutokea iunakuwa mdogo na kutubu, but one thing i like them huwa ni wepesi sana wa kusamehe kwa kumaanisha na kuanza ukurasa mpya. ilishanitokea mm lol!
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  boss wanawake tunaongoza sana kwa hili yaani mtu atalia hadi macho yatamvimba na hapo ni hisia ama maneno ya kuambiwa tu hana ushahidi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Na hii inakuwa ngumu sana kwa sababu kosa la kwenye mahusiano halitakiwa liwe la kubahatisha
  Nawashangaa watu wengi tu..yaani hata simu ikiwa off..tayari ni sababu ya kuwa accused..lol
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha siku moja aisee lol! yaani nilikosea sana tu ila nililetewa evidence nikawa mdogo kama piriton nikajishusha na kutubu, but alisamehe na mpaka leo ni mwema kwake. kuletewa ushahidi kunatisha kama sunami
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mno mno
  na mpaka mtu anaweza ambiwa mfukuze kazi
  kama ni secretary wako ndo mkeo anahisi unakula
  hisia tu mtu anafukuzwa na kazi lol
   
Loading...