Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni zaidi ya miaka miwili nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye daima huwa ananambia kuwa hana mume. Jana nikakutana ma rafiki yake ambaye yeye ananifahamu mi simfahamu. Nikasikia ananiita...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Yaani usiombe mwanamke akuchukie hiyo revenge duh .
0 Reactions
1 Replies
848 Views
habari wana Nzega! Natafuta kampani ya wana JF waliopo Nzega.....iwe wa kiume au wa kike haina shida. Nina miezi 6 tangu nimefika nzega ila niko bored ile mbaya. nahitaji kampani kwaajili ya...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Kuna hekima kubwa ya kuishia nje wakati mkeo ana muona daktari. Au mkeo kubaki nje wakati unamuona dacktari. hii ni kwasababu uchunguzi mwingine nadhani haufai mkawa wote. Kwamfano, kipimo cha...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
kichwa cha habari hapo juu chausika. ABOUT ME IN A NUTSHELL umri ; miaka 32 elimu;university graduate ccupation;emloyed and entreprenuer home;kilimanjaro Phisical;sportman size, good looking...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekutana na rafiki yangu leo asubuhi huku akiwa na bashasha jingi usoni. Nikataka kufahamu, kulikoni. Akanieleza shemeji yako wiki iliopita kutwa alikuwa anakichefuchefu sasa tumetoka hospital...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
wana jamvi wa mapenziWahindi mara wanapomaliza ku do:wanapongezana na kuulizana lini wata DO tena,,Wazungu nao baada ya ku...,huulizana kama wameenjoy......lakini hapa wabongo wakimaliza...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
:evil:'kuliko kikaoza bora nimpe jirani' jamaa ametoka safari ya kikazi miezi mitatu akakuta mkewe kavaa khanga imeandikwa maneno hayo!!! na yeye kesho yake akamletea khanga imeandikwa 'wako...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26.kuna swali huwa nina jiuliza sana ila nakosa jibu.nilipokua boarding ya wavulana niliona vijana wengi wakilala wanaweka mkono ndani ya boxer,na hata...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo. Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
:welcome:Katika ulimwengu huu hususan nchi ya Tanzania kila mtu anacho kitu akipendacho kuliko vingine Naomba kuuliza ni starehe ipi ambayo imeweza kuteka akili za watu wengi (majority) ambayo kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Scott Peterson.... Amber Frey nyumba ndogo ya muuaji Scott.... Enzi ya uhai wa Laci Peterson Scott Peterson akiwa na mwanasheria wake Mark Geragos Scott Peterson Mnamo Desemba 25...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu, Habar kutoka A town ni njema sana Huu ni Mkasa unaweza kuita Kisa kilichompata Msela wangu Sam. Sam ameoa na Shemeji ni Mjamzito, 7 - 8 Months. Jirani ya Sam kuna Mdada ame deliver siku si...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
dear wana jf mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33 wasifu wangu mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Diana na Gidion (si majina halisi) ni marafiki wa tangu utotoni,urafiki wao sasa umekua hadi kuwa wapenzi! Naam ni wapenzi,ambao vijana wengine wanawamezea mate! Wanavyotembea,wanavyojaliana,na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Darling 2. Dear 3. Sweet heart 4. Jina lake 5. Jina lake la utotoni 6. Jina la mama yake 7 jina lake la ukoo
0 Reactions
468 Replies
59K Views
Yupo huyu mdada kweli anapendeza sanaaaaaa Yupo huyu kijana kweli anampenda huyu mdada lol.. Penzi lao laelekea kuwaka na halina kizima moto lakini, Upo mushkeli katika dimbwi la mahaba yao...
27 Reactions
79 Replies
11K Views
Habari za hasubuhi waungwana, Jana nilienda msibani huko magondo poromoka, nikiwa na shogha yangu cha ajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Mwanaumme bila kazi hapendeki Shida akililiwa visingizio kibao Kumgalagaza mwenzie kitandani haoni kero Lakini matunda yake kamwe hayali Mwanaumme ni nini haswa? Binti alijipanga bila ya zengwe...
32 Reactions
87 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…