sijielewi

sijielewi

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.

Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.

Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.
 
mmh labda uwe muwazi kidogo
habu tupe sifa zake na mapungufu yake kwa undani ili tuweze kukushauri vizuri
tupe mazuri yake na mabaya yake kwa kifupi
by the way pole kwa kuteswa na mapenzi..
 
Inaonekana anakukuna vizuri; hata ukijibalaguza kumuacha na kufungua ukurasa mwingine - hapo ndo mtakuwa na uhusiano wa kudumu!

Njia nzuri ya kumuacha ni kutopokea sm yake, kutokuwa karibu naye.
 
Ni hali ya kawaida tu. Kuna siku yatakukifu na utamuacha hataamini kama ni wewe. Amekujua uko weak kwake, endelea kujitathmini. Lakini unaweza kuharakisha ukombozi wake, hebu jiweke busy. Get a life. Anzisha biashara ama uende shule, badili viwanja na kutana na marafiki wapya.
 
sababu kuu huwa ni kwamba anakuridhisha mno kimapenzi...hata ukienda kwa mwanamume mwingine hakuna anayekufikisha kama huyo jamaa.....imeshawahi kunitokea hiyo kwamba namfanyia vituko vya kufa mtu demu hakuniacha ,hata aliponiacha baadaye akarudi mwenyewe....nilipomuuliza akaniambia dah yaani nikifikiria unavyonikuna ,wala sijapata kama wewe!!!hii kitu achana nayo kabisa!!!
 
Ukweli ndo huo
 
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.

Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.

Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.

Yote yanazungumzika,kaa naye ongea naye vile unavyotamani abadilike na kuwa na pia umsikilize na yeye ana mtazamo gani juu yako.Then ndo ufanye maamuzi ya moja kwa moja kama ni kudumisha uhisiano wenu au kuuvunja rasmi.Pia nadhani hujaamua kumuacha huyo mshkaji kwa sababu mtu akiamua kuacha huwa harudi nyuma!!!!!!!
 
Ukitaka kukata waya. Mbona simpo sana! Kata mawasiliano. Badili namba ya simu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shikamooni wanajamvi,wadogo marahaba.Natumaini wote mchana mmeuona kama hujauona bado karibu lunch kwa mama mremboo.

Nisiwapotezee muda niende streit tu ze point. Huyu kijana nimefanya maamuzi ya kumuacha zaidi ya mara tatu kutokana na tabia zake na zangu kutoendana,unakuta yeye Ana mtizamo tofauti kabisa wa maisha na style zake.kila nikimueleza anaona kama namuingilia. So mie nkaona isiwe nongwa bado ndo kwanza mchana naweza nunua kwingine! Nimemtamkia kabisaaaaa kwamba tusipotezeane muda kila mtu awahi kivyake but yeye huwa hajibu chochote zaidi ya kusema Yuko in love na mimi!naamua nakuwa kimya ILA akipiga tu simu na kuongea mawili matatu basi mie hoiii najikuta hisia zinanijia narudiana nae, sometimes anasema eti mie sina nguvu ya kumuacha....!ukweli sina future nae ILA nashindwa namna ya kuzuia hisia.

Sasa wadau wangu naomba mnishauri nifanyeje nimuache mamoja??for six months nimejaribu nimeshindwa kitu ambacho sio kawaida yangu, kwenye ishu ya kuacha mtu mie ilikuwa ni kama unavyokunywa maji ILA kwa huyu mhhhhh.

Vuta subra mtafikia muda mutakuwa chungu kimoja
 
Maelezo yako yananionyesha ugumu wa kumwacha huyu jamaa ila nakupa pole sana kwani jamaa anacheza na hisia zako akijua wazi huwezi kumwacha pamoja na kwamba naamini kuna siku hutarudi nyuma...Tumia muda wako mwingi katika kazi zako, punguza mawasiano kila siku zinzvyosogea, tafuta rafiki wa kiume sio lazima mpenzi ambaye ni mstaarabu na uwe unawasiliana nae katika mambo yako ya kawaida yaliyokuwa yanamwitaji huyu jamaa, note; anaweza kuwa hata ndugu wa karibu, pia badili mfumo wako wa maisha kwa kutazama zaidi maisha yako na kugundua jinsi jamaa anavyokufungia milango kwa wanaume wenye mapenzi ya dhati kwako.......Mwisho ni mara chache sana mwanamme anabadili tabia yake ya awali kama hujaridhia bora ujitoe mapema
 
Hapo ndio ninapoupendea moyo.... akili inakutuma hakufai lakini moyo hata hauelewi...... ndio maana mie huwa nafuata moyo, japo mwisho wake waweza kuwa mbaya sana
 
Me sikushauri uachane naye. Muhimu zungumza naye muelekezane namna maisha mnataka myaendeshe. Hakuna mjamilifu duniani. Inawezekana utakayekutana naye ana tabia mbovu zaid.
 
Maelezo yako yananionyesha ugumu wa kumwacha huyu jamaa ila nakupa pole sana kwani jamaa anacheza na hisia zako akijua wazi huwezi kumwacha pamoja na kwamba naamini kuna siku hutarudi nyuma...Tumia muda wako mwingi katika kazi zako, punguza mawasiano kila siku zinzvyosogea, tafuta rafiki wa kiume sio lazima mpenzi ambaye ni mstaarabu na uwe unawasiliana nae katika mambo yako ya kawaida yaliyokuwa yanamwitaji huyu jamaa, note; anaweza kuwa hata ndugu wa karibu, pia badili mfumo wako wa maisha kwa kutazama zaidi maisha yako na kugundua jinsi jamaa anavyokufungia milango kwa wanaume wenye mapenzi ya dhati kwako.......Mwisho ni mara chache sana mwanamme anabadili tabia yake ya awali kama hujaridhia bora ujitoe mapema

huwa simpigii yeye ndo anapiga,appointment nae nyingi nimeweza zikataa but Moyo unaniangusha mie mwenzenu
 
Me sikushauri uachane naye. Muhimu zungumza naye muelekezane namna maisha mnataka myaendeshe. Hakuna mjamilifu duniani. Inawezekana utakayekutana naye ana tabia mbovu zaid.

nimezungumza nae hadi nimechoka,ndo maana nkaamua nitawanyike,maisha ni zaidi ya kuwa nae
 
Kama kweli unataka kuachana naye inabidi ungangamare na kuacha kabisa kuufuata moyo wako unataka nini, kitu ambacho si rahisi. Kila la heri.

uko sahihi,nisaidie ni namna gani naweza pingana na hii power of love?4 sure nataka kumove on buy how?
 
Back
Top Bottom