hii ni kweli...anayebisha hongera zake...!

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
516
250
wana jamvi wa mapenziWahindi mara wanapomaliza ku do:wanapongezana na kuulizana lini wata DO tena,,Wazungu nao baada ya ku...,huulizana kama wameenjoy......lakini hapa wabongo wakimaliza gemu...huulizana chupi yangu iko wapi.......?ebu kolezeni tena........!
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,241
2,000
hahhaa unajua dada zetu wakibongo wanajidai maringo sana hapo mwanzoni baada ya kumpata na kumgegeda unamwambia hivyo ili kumuonyeaha kuwa huna dhamani tena kama vipi tafuta chupi yako fasta uchape lapa
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0

Kumbe?????

Sikulijua hilo before!
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,241
2,000
Wanaume???
Umeambiwa mie ndala mpaka kila mtu anikanyage???

kwani mmeshagegedwa na wangapi? alafu lazima itakuwa wanaume...reason being yule utakaye mvulia lazima akishakugegeda atakuona huna jipya tena lol...so itabidi upate mwabaume mwengine tena lol
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0
wewe mlongo wangu, ile like kwa post uliyoi-quote ni kwamba umeipenda hiyo post au? maana sijakuelewa kabisaaaaaaaaaaaaa

Unajua nimefungua windows mbili, sasa nimechanganya wakati wa ku-like!
Badala ya ku-like post kule CC nikajikuta naclick huku hasa ukizingatia sijaminimize.
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,309
1,225
Unajua nimefungua windows mbili, sasa nimechanganya wakati wa ku-like!
Badala ya ku-like post kule CC nikajikuta naclick huku hasa ukizingatia sijaminimize.
sasa si u-unlike? inawezekana, na tutajua umekosea.....
yaani hapo ulivyoacha umelike sijui wenzangu watakufikiriaje, maana hiyo post ni tusi kubwa sana kwa wadada karibia wote.
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0
kwani mmeshagegedwa na wangapi? alafu lazima itakuwa wanaume...reason being yule utakaye mvulia lazima akishakugegeda atakuona huna jipya tena lol...so itabidi upate mwabaume mwengine tena lol

Endelea kuisoma dunia ya mapenzi kijana, utagundua kuwa to some people haihitaji fujo wala kujionesha!
Na vilevile haihitaji foleni kwa ujiko wa kubaki na historia. Bali ni raha kwa nafasi!

Mambo ya kugegeda na kuona hana jipya hayo ni ya wakosaji na desperate ones.
Na mara nyingi huishi kwa maigizo na misemo ya copy & paste kama hiyo yakwako!
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0
sasa si u-unlike? inawezekana, na tutajua umekosea.....
yaani hapo ulivyoacha umelike sijui wenzangu watakufikiriaje, maana hiyo post ni tusi kubwa sana kwa wadada karibia wote.

Nilisha unlike kitambo mpenzi.
Asante kwa kunikumbusha!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
193,626
2,000
Endelea kuisoma dunia ya mapenzi kijana, utagundua kuwa to some people haihitaji fujo wala kujionesha!
Na vilevile haihitaji foleni kwa ujiko wa kubaki na historia. Bali ni raha kwa nafasi!

Mambo ya kugegeda na kuona hana jipya hayo ni ya wakosaji na desperate ones.
Na mara nyingi huishi kwa maigizo na misemo ya copy & paste kama hiyo yakwako!

nidai bierre ya barrrrd kesho plz!they think sex is an act of pulling down the pants n after climax unasepa!
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,864
2,000
Mwanangu Olelaigwan lang acha longolongo. Uliwauliza nini hao wote uliowataja kama siyo hisia zako za longolongo. Kama wewe unauliza chupi iko wapi usidhani ni wote. No research no right to speak. Acha kuwadanganya wenzako. Nadhani una tabia ya kukata tamaa na kujichukia. Nenda Tanga kaulize utaambiwa. Naona kama hujafundwa vinginevyo haya ni mambo ya kawaida ambayo ulipaswa kuyajua badala ya kudandia hao wahindi na wazungu. Waswahili nao wanayajua tena kuliko hao wazungu ambao kwa sasa wanaongoza kwa talaka dunia na mapenzi artificial. Hata hao wahindi hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kuozeshana kwa nguvu kufuata utajiri.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,241
2,000
Endelea kuisoma dunia ya mapenzi kijana, utagundua kuwa to some people haihitaji fujo wala kujionesha!
Na vilevile haihitaji foleni kwa ujiko wa kubaki na historia. Bali ni raha kwa nafasi!

Mambo ya kugegeda na kuona hana jipya hayo ni ya wakosaji na desperate ones.
Na mara nyingi huishi kwa maigizo na misemo ya copy & paste kama hiyo yakwako!

ah maigizo yetu yanatufanikisha kugegeda wanawake daily...so were aint complaining
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,241
2,000
nidai bierre ya barrrrd kesho plz!they think sex is an act of pulling down the pants n after climax unasepa!

the true meaning of sex comes down to ones interpretation. wengine ni starehe. wengi its a power game. wengine a means to an end so hard to pin point exactly wat sex is kwa mtu
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0
nidai bierre ya barrrrd kesho plz!they think sex is an act of pulling down the pants n after climax unasepa!

Hawajijui kama wanatiliisha huruma kwa sababu hata game lenyewe lishawatupa!
Na ukiwadadisi sana utajagundua kuwa wengi wao hujisemea mioyoni mwao kuwa wana mikosi so kuliko kukosa vyote anaona ni bora afanye hivyo na hapo ndipo hujiona katimiza kile ambacho dume linatakiwa kufanya . . . . .kumbe hata njia yenyewe haijui achilia mbali kuiona!

Alright,
Mie yangu Redd's tu rafiki
Kiroho saaafii!!
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
0
ah maigizo yetu yanatufanikisha kugegeda wanawake daily...so were aint complaining

Kwa tarifa yako wao ndio wanaokugegeda wewe,
Jichunguze tu utagundua kuwa wewe ndio unabaki na illusory mind!

Inshort unajitesa thats why unajifariji kwamba u'll keep on gegedaring them!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom