Harusi yetu mwezi huu iwe kubwa! Iwe funga mwaka,,Eti dear?

T

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
1,520
Points
1,195
T

Tetra

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
1,520 1,195
Diana na Gidion (si majina halisi) ni marafiki wa tangu utotoni,urafiki wao sasa umekua hadi kuwa wapenzi! Naam ni wapenzi,ambao vijana wengine wanawamezea mate! Wanavyotembea,wanavyojaliana,na hata wanavyoheshimiana.Kila anaewajua Diana na Gidioni,anakiri upendo huu ni wa pekee sana,,pengine zawadi toka kwa Mungu.
::
Jumamosi moja walikuwa wameamua kujadili juu ya harusi yao.Kila mmoja anapenda kuishi na mwenzake ili atimize dhati ya moyo wake.
::
GIDIONI
Naomba uwe mwelewa Diana,harusi haiwezekani,na unajua jinsi gani nakupenda,pia sielewi ni jinsi gani naweza bila wewe.Lakini unamjua baba yako,alivyosema kuhusu mahari milioni 4,gari 2,ng'ombe 5 alisema anataka kuona faida ya kukusomesha,je uwezo huo familia yangu itautoa wapi?
DIANA
Sema hutaki kunioa tu,rafiki zangu wote wamekuwa na harusi kubwa.Tangu zamani nimeota ndoto za kutembea katikati ya watu,nikiwa nimevaa gauni la bibi harusi,ndugu na jamaa zetu,wakituangalia kwa fahari.Gari kubwa likitungoja kutupeleka kwetu,sherehe kubwa hotelini,LEO unasema..sem..a (Diana analia)
::
GIDIONI
(anatafakari,kisha anasema) Arusi kubwa,gari kubwa,gauni zuri,nani atalipa hayo yote?Kama tunapendana hasa,arusi siyo ya maana hasa.Diana we si mtoto tena,tuangalie mambo ya msingi!
::
DIANA
Mbona wanaume wenzako wanafanya hivyo! Hata watu husema,harusi hupata baraka za Mungu na ili tubarikiwe lazima tufunge ndoa halali,sema tu umepata mwingine!

GIDION
Ni kweli,watu wanasema kufunga ndoa huleta baraka,lakini unafikiri Mungu hawezi kutubariki ktk nyumba yetu tukimwomba? Naamini Mungu aweza kufanya hivyo maana yeye ni mwema.
.
Diana na Gidioni,hawakuendelea mbele,kila mmoja akitafakari jambo lake mwenyewe,kila mmoja aliondoka kimya.
::
NAAM,ikiwa familia moja wanadai mali kubwa kusherekea sherehe ya siku moja ilihali upande wa pili hauwezi kugharamia basi hao ni wachoyo.Maana familia hizi huwaacha vijana wakabiliwe na uamuzi usio wa haki.
=
Harusi sio nafasi ya kujigamba,na furaha ya ndoa haitegemei gauni la bibi harusi,gari wala idadi ya watu bali upendo moyoni.Hatukatai ndoa au harusi kubwa Lakini tuangalie uwezo kuliko kuwaacha wanandoa kuanza maisha ya ndoa kwa madeni.
 
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,272
Points
1,225
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,272 1,225
Gideon ndo mjanja tu hapo,,,harusi ni muhimu ila sio lazima kutumia gharama kubwa zisizo na manufaa.......ndoa ni mara moja lakini sioni sababu ya kufanya kufuru na huna uwezo,,,mwanaume sio kufanya harusi kubwa,,,,mwanaume ni kuwa responsible na hiyo familia na ndoa....mwisho wa mawazo yangu
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195

hayo ni mawazo yao na makubaliano yao kama kipo kwa nini usitumie yafurahie maisha ungali hai
 
soma hapo kwenye RED,thats where my point is
Gideon ndo mjanja tu hapo,,,harusi ni muhimu ila sio lazima kutumia gharama kubwa zisizo na manufaa.......ndoa ni mara moja lakini sioni sababu ya kufanya kufuru na huna uwezo,,,mwanaume sio kufanya harusi kubwa,,,,mwanaume ni kuwa responsible na hiyo familia na ndoa....mwisho wa mawazo yangu
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
soma hapo kwenye RED,thats where my point is
Gideon ndo mjanja tu hapo,,,harusi ni muhimu ila sio lazima kutumia gharama kubwa zisizo na manufaa.......ndoa ni mara moja lakini sioni sababu ya kufanya kufuru na huna uwezo,,,mwanaume sio kufanya harusi kubwa,,,,mwanaume ni kuwa responsible na hiyo familia na ndoa....mwisho wa mawazo yangu
lkn kama mtu anauwezo kwa nini usifanye
 
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
4,785
Points
1,500
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
4,785 1,500
Harusi sio nafasi ya kujigamba,na furaha ya ndoa haitegemei gauni la bibi harusi,gari wala idadi ya watu bali upendo moyoni.Hatukatai ndoa au harusi kubwa Lakini tuangalie uwezo kuliko kuwaacha wanandoa kuanza maisha ya ndoa kwa madeni.
Hapa ndo kwenye tatizo. Wengi wanafikiri ndoa ni misururu ya magari!
 
karembo

karembo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
129
Points
0
karembo

karembo

Senior Member
Joined Nov 2, 2012
129 0
Maskini Diana...yupo kama wasichana weeeengi tulivyo. Ana day dreaming na illusions zisizo na tija.
Familia ya Diana nayo mmmh..ipo kama familia zetu nyingi za mboga nane za kihaya au kichaga. Wanaopenda kujionesha na ku demand vitu ambavyo hata wenyewe wasingeweza kuvi afford enzi hizo kabla hawaja prosper.
Oooh Gidion.. he's juc lyk a lot of men who've really love bt kachaa inazingua . They usually end up with ones that are nat their choices.

The world isn't fair...
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Points
1,225
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 1,225
Baada ya hapo Gidion alitengana na Diana kuolewa na mwanaume mwenye pesa kwa kibali cha familia yake.
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Acheni Masikharaaa nyie!!!!!!! yaani Ukute Baba yangu Mtu wa maana sana nchi hii, ana base kubwa ya marafiki VIP, na harusini kaalika watu wazito afu unileteee habari zako za HARUSI YA KAWAIDA!!!!!! Thubutuuuuuuuu! Yaani VIP ukawakalishe ukumbi wenu wa matungucha kimara baruti!!!!!!!!!!!! Sehemu unakuta sakafu imetoboka toboka hadi unaona udongo kama Dar West Park ya zamani!!!!!!!!!!!!!!!! Chinekeeeeeeeeee!!!! God forbid oooooooooooooooh! Hata kama mi ndo huyo mdingi sikubali upuuzi kama huo, bora mchelewe kuoana sio kutiana aibu na kuaibishana!!!!!!!

Suluhisho Mwamaume Oa Binti wa Hadhi Yako!!!!!!! Ofcourse a woman can get away with it!!!! (Pesa ya harusi unachukua kwa switie Hubby, hata ya sendoff na bridal shower ikbidi hadi ya kitchen party!!)

Si mmeona Brown alivokufa kisabuni na kuhakikisha harusi imefunika!!!!!!!! Chezea kuoa Made mutoto ya MD wa CRDB!!!!!! Hapana chezea kabisaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,185
Points
2,000
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,185 2,000

Ha ha ha ha Lara 1 hoyyyyyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! You talk/speak the reality!!!! Achana na kuoa mke ambaye ni matawi ya juu huwezi yafikia!!! Kwa wanawake si tabu sana kwa kuwa waweza kuwa watoka poor family but unapata a rich guy!!! Kuoa mtoto wa tajiri ni kazi kubwa sana wanaume tupo!!!!! Usijei ukazunguka kuomba michango mwaka mzima kisa harusi!!! Na usipoangalia au kwa uzoefu wote walioa kwa vibosile na income zao ndogo wanaishi maisha not very palatable!!!! Chunguza!!!
 
Baeleze Baelewe hii mutu!!!!!!!!!! Unaenda kuposa unaambiwa Mahari 25m, mishuzi inakutoka double double hadi unapausha cushion za watu za Cashmere au genuine soft lether sofa la watu!!!!!!!!! Presha inakupanda na kushuka!!!!!!!! Utakufa mapema bureeeee!!!!!! Mtuchukue dada zenu wa Uswaziii, mahari Ngombe mmoja!!!!! kwisha kazi!!!!!

Hapo bado mke wa caviar hajazaaa! Utajambaje na pampers! sijui mashine ya kukamulia maziwa, mashine ya kupashia at mums temperature, baby rocker, themometer ya kupimia maji ya kuoga, sijui maziwa gani ya unga ya Uk, sijui nguo pure cotton, Dr appointment za kila wiki kuangalia ukuaji mizagazaga kibaoooooo! Ndo maana watu wanaiba ofisini! Ungeoa uswazi nepi/Kanga chakavu ziko wapi, vestline poda wapi, nguo za kutokea tu, mchana mitumba ya jero, maziwa ya ngombe au ya mama baaaas!, baby carrier=mgongo wa mama/dada wa kazi gani na mikono, baby walker atatembea tu mwenyewe gharama za nini!, Dr hadi aumwe au tarehe ya clinic!!!!!! Stress freee!
 
Lara 1 umeauaaaaaa!! wape wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. Eti baby walker kwani vile vya miti wanatengeneza mafundi seremala cha ubao uliobaki havipo? Mpe aendeshe siku mbili miguu kazaaa toto hilo latembea peke yake!! Stress za nini bwana!! Nikiona tu demu anaanza kunipangia oh mara hiki mara kile enzi zile napiga china kabisa!! Ndoa ni makubaliano na maelewano na mtaweza haya kama mna some issues/items/characteristics/contents in common!!! Tusijidanganye!!
 
Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,790
Top