Starehe ya wengi

Starehe ya wengi

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
:welcome:Katika ulimwengu huu hususan nchi ya Tanzania kila mtu anacho kitu akipendacho kuliko vingine
Naomba kuuliza ni starehe ipi ambayo imeweza kuteka akili za watu wengi (majority) ambayo kwa uhakika utasikia kwenye kila kona ya mkoa wa nchi yetu.
Starehe haijalishi ni nzuri au ni mbaya ila tunachoangalia majority are involved in it!
Je ni :

1. ULEVI
2. NGONO
3. UFISADI
4. UNAFIKI
5. USENGENYAJI
6. UCHAWI
7.......
8......
9......
10.......
 
Hivi uchawi ni starehe kumbe,duh mi nilikuwa sijui kwa kweli. Nadhani wengi wako number 1 na 2.
 
Naona kuna nyinginezo kama
13.USAGAJI
14.WIZI
15.....
 
:welcome:Katika ulimwengu huu hususan nchi ya Tanzania kila mtu anacho kitu akipendacho kuliko vingine
Naomba kuuliza ni starehe ipi ambayo imeweza kuteka akili za watu wengi (majority) ambayo kwa uhakika utasikia kwenye kila kona ya mkoa wa nchi yetu.
Starehe haijalishi ni nzuri au ni mbaya ila tunachoangalia majority are involved in it!
Je ni :

1. ULEVI
2. NGONO
3. UFISADI
4. UNAFIKI
5. USENGENYAJI
6. UCHAWI
7.......
8......
9......
10.......

Mkuu,

Ipange upya thread yako, maana haina upako kabisa! Imekaa mlengo wa kushoto kabisa.
 
utapeli ni starehe:nimekataa??hapana naomba definition ya starehe plzz

Kuna fumbo zito hapo, ndio maana kuna waliochangia kama mimi. Ila take time utaelewa anamaanisha nini hapo
 
Back
Top Bottom