Hatulii Nyumbani Kwake

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,402
2,000
Wakuu,
Habar kutoka A town ni njema sana
Huu ni Mkasa unaweza kuita Kisa kilichompata Msela wangu Sam.
Sam ameoa na Shemeji ni Mjamzito, 7 - 8 Months.
Jirani ya Sam kuna Mdada ame deliver siku si Nyingi (ana kichanga) Kwa Jiran wa Sam kuna wageni kibao tuu, Wa Mama Mama wa kutosha.
Sasa wife wa Sam amekuwa hakauki kwa Jirani, yan Sam akitoa Mgngo tu wife wake huyooo kateleza kwa jirani.
Hii kitu kwa namna flan haimfurahishi Sam, mie nimejaribu kumwambia kuwa may be huenda hali aliyonayo wife wake anajikuta ana mengi sana ya kujifunza na kujiionea kutoka kwa jirani, Sam anaoneka kukubaliana na hili though Frequency za wife wake kwenda huko zimekuwa Nyingi Mnoooo.
Nimemshauri ajaribu kuongea na wife juu ya hilo na kumueleza jinsi anavyo feel na ameshafanya hivyo
Lakin Sam bado anaoneka Somo Langu halijapanda, Hebu leteni hizo inputs zenu na nina ahidi ku zi deliver kwa Sam Bila Chenga
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Hao wageni ndo wanamfanya huyo dada awe mkimbizi nyumbani kwakwe!!!!!!!!! Nyumba ishakuwa chunguuuu! Hapo kwa jirani hamna cha kujifunza wala nini ni kutafuta sanctuary tuuuu! Wageni nundaaa, sebule yako, remot ya tv unaiona Kituo cha Polisi!!!!!!!

Mi mwenzenu sipendiiiii wageni kuliko malezo na wasivokauka si kwangu wala kwa mama Lara! Bora hata huko Majuu nasikia unaweza kaa miaka 2 bila ugeni, ningenepaje sasa!
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,277

Kwa nini hupendi wageni?
 
Ni me edit kidogo Mpenzi, hao wageni ni kwa Jiran yake Sam, wamekuja kumsabahi mtoto
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Kwa nini hupendi wageni?
Kwanza kabisa mtu kaja kwako alafu anaanza kuleta ujuaji, unarudije saa hizi mwanangu? Zimeni Tv tulale mda umeenda, Silalagi na taa mwenzio, zima feni nina allergy,silagi hichi, asubuhi lazima nile hichi, nipeleke kwa falani, flani na flani wanakuja kuniona hapa siku flani, watayarishie wageni basi, naona nimlete flani mje mkae wote aisee, mtapendana sana!!!!!!!!!!

Damn!!!!!! Dini inataka tuwe wakarimu kwa wageni, ila wageni wengine Pasua Kichwaaaaa!!!!!!!!! Hao ndugu zangu mwenyewe wamenichosha sasa ukute ndugu wa mume!!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! Huwaambiii kitu, wanakufanya wewe ndo mgeni sasa! Lazima ukimbie!

Bado kujisevia vitu vyako kama khanga, mafuta(Lotion ya uso mwenzio anapaka mwili mzima!) Unyunyu designer unapaka kwa kujiibia yeye anajimwagia,dhahabu anavaaa tu kama bei ya gramu anaijua, miwigi nayo anajisevia, kuipeleka saloon ikaoshwa kimyaa, Pochi anatungua tu kama karume wkt nyingine za kwenda sehemu ya maana yeye anaendea sokoni au kkoo!!!!!!! Ukisemaaa tu unamnyanyasa!!!!!!! Bado kuomba omba, naomba hiki, naomba kile! Dukani huvioni?

Wageni masela wasioverstay their welcome nawavumilia kiaina!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Ni me edit kidogo Mpenzi, hao wageni ni kwa Jiran yake Sam, wamekuja kumsabahi mtoto
Mhhhhhhhhhhh! Labda anafata company tu!!!!!! Kwenye wengi pana mengi, na hayo mengi ndo anayataka yeye bi dada!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,744
2,000
Kwanza kabisa mtu kaja kwako alafu anaanza kuleta ujuaji, unarudije saa hizi mwanangu? Zimeni Tv tulale mda umeenda, Silalagi na taa mwenzio, zima feni nina allergy,silagi hichi, asubuhi lazima nile hichi, nipeleke kwa falani, flani na flani wanakuja kuniona hapa siku flani, watayarishie wageni basi, naona nimlete flani mje mkae wote aisee, mtapendana sana!!!!!!!!!!

Damn!!!!!! Dini inataka tuwe wakarimu kwa wageni, ila wageni wengine Pasua Kichwaaaaa!!!!!!!!! Hao ndugu zangu mwenyewe wamenichosha sasa ukute ndugu wa mume!!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! Huwaambiii kitu, wanakufanya wewe ndo mgeni sasa! Lazima ukimbie!

Bado kujisevia vitu vyako kama khanga, mafuta(Lotion ya uso mwenzio anapaka mwili mzima!) Unyunyu designer unapaka kwa kujiibia yeye anajimwagia,dhahabu anavaaa tu kama bei ya gramu anaijua, miwigi nayo anajisevia, kuipeleka saloon ikaoshwa kimyaa, Pochi anatungua tu kama karume wkt nyingine za kwenda sehemu ya maana yeye anaendea sokoni au kkoo!!!!!!! Ukisemaaa tu unamnyanyasa!!!!!!! Bado kuomba omba, naomba hiki, naomba kile! Dukani huvioni?

Wageni masela wasioverstay their welcome nawavumilia kiaina!
hahaha, wageni waswahili noma! Mie orientation ya dada inahusu na matumizi na sharing ya vitu vyangu
. Kama mgeni ana hitaji la muhimu nitampa. Kama anahitaji flats nitampa zote zotee. Nna khanga za wageni na bedroom yangu hata mamangu halali. Sipendi kushare na dada ndo ajira yake., akiona mtu kagusa kitu changu amkimbize kabla sijarudi. Lol

ila wageni wanachosha. Mi sipendi kwenda kwa watu na sipendi wageni wa kulowea, 2 hours a year is more than enough kumsabahi mtu. Unakaa kwa watu hadi wanasinzia., khaaaa!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,744
2,000
Tabia za kiswahili tu, piga marufuku kwenda kwa watu. Anajifunza nini, angekuwa na jirani ambae hana mtoto angeenda mtaa wa tatu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom