Wadau nauliza ni wakati (muda) gani mzuri na unaofaa kumpa mkeo mimba baada ya kufunga ndoa takatifu? soon baada ya ndoa, miez 3, miez 6, mwaka 1, miaka 2?? Naomba ushauri wenu
To all Friends of mine on JF, while in South Africa
Thanda Simelane
1683-B ,TSHWE STREET NALEDI
PO BOX KWA-XUMA 1868
SOWETO, JOHANNESBURG
SOUTH AFRICA
You can not get lost at all.
CC: Mtambuzi...
Kuna dada mmoja ametokea kwenye familia duni na alitolewa kijijini na ma frend na akawa anamsaidia kazi zake....
kwa bahati nzuri akampata mume pesa imetakata thru ma frend........
Sasa...
nifanye nini ili niache kupiga punyeto? jamani mimi ni mvulana 26 miaka nimeanza kupiga nyeto tangu kidato cha tatu hadi sasa nipo chuo najaribu kuacha nashindwa pia nakosa kujiamini napotaka...
The World Health Organisation, WHO, has said 77 percent of women in Nigeria use skin-lightening products, the worlds highest percentage. The figure compares with 59 percent in Togo, and 27...
Habari wana JF, najitokeza nikiwa serious kabisa, natafuta mchumba. Mimi ni mwanamke, hivyo natafuta mchumba wa kiume. Umri kuanzia miaka 35 mpaka 41. Natafuta mchumba mwenye umri huu kwani wengi...
Tumejuana na mdada huku mtandaoni, tukapeana namba tukawa tunawasiliana na kutaniana sana kwa kipindi cha miezi mitatu bila kuonana, sasa tukapanga kuonana huku kila mmoja akiwa na furaha na...
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu...
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo
Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days
Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana...
Nimeisoma hii kwamba kunautafiti umefanyika umegundua kwamba wanaume ndio wanasononeka sana
wanapokosa watoto, very interesting story from bbc, unaweza kuisikiliza zaidi hapa...
kwa wapenzi wa kuzamia chumvi halahala kuna kitu inaitwa HPV inaleta cancer ya kooni, na kusambaza cancer ya cervical, anal na genital warts.........muulize star wa Basic instinct Michael Douglas...
Hawa ni raia watano wa Yemen wamepatikana na hatia ya kuzini na wanawake wa Saudia Arabia hukumu yake ndo hiyo majina yao ni Khaled, Adel, Qasim Saraa, Saif Ali Al Sahari na Khaled Showie Al...
Mimi ni binti wa miaka ishirini na saba, nina mpenzi lkn mpenzi wangu huyu aliwahi kubahatika kupata mtoto na msichana mwingine alitengana na mtoto kama mwaka mmoja, mama wa mtoto alimchukua mtoto...
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na sita ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa dar natafuta mdada mwenye miaka 25 na kuendelea awe anayejitambua kabila lolote sichaguii dini wala kabila kama upo...
naitwa john frank nafanyakazi ya kuajiliwa mwanza elimu yangu ni ya chuo kikuu natafuta mchumba mcha MUNGU lakini pia awe mpenzi wa kuimba awe anatoka mahali popote tanzania awetayari kupima...
kuna msichana mmoja she is my best friend, ila nimeanza kumpenda kutokana na tabia pamoja na uzuri wake ,tumefahamiana ni zaidi ya mwaka ,ila kumueleza hisia zangu kwake nimeshindwa kabisa...
wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza ni pale unapokuta mwanamke hajijali anaish utafikiri mzee akiwa home hii inajenga mazingira ya kero na mtu kuamua kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.