Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

==UPDATE==
Wapendwa nawashukuru sana kwa best wishes na sala zenu. Procedure ilienda vizuri na sasa nimesharejea rum, nikiuguza tu kakidonda. Upendo wa Mungu uwe nanyi nyote...
 
Kuwa na amani utatoka salama. operation ni kitu cha kawaida sana, usiumize kichwa.
 
Usiwe na wasiwasi. natumaini mambo yatakwenda vizuri. Pole sana kwa kuugua.
 
Mungu Mwema Tuko atakulinda katika hili. Pole na maumivu na Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi katika process yote ya matibabu. Best of Luck na twakusubiri kwa hamu kuja kutupa feedback ya maendeleo. Pamoja saana.
 
In jesus name pokea uponaji haraka

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nipo na wewe katika sala. Mwenyezi mungu atakusimamia kwa kuwa unamwamini. Kila la kheri mkuu.
 
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na akuponye kidonda ili urejee katika shughuli zako za kila siku!
 
In jesus name pokea uponaji haraka

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kuwa na imani utatoka na utapona.

A joke. Usipotoka nani atatutaarifu? Au tukikosa post zako tu confirm tukio?
 
Mwenyezi Mungu akaongeze OP yako maana Yeye ndiye Daktari mkuu.
Hold on your faith and we'll keep praying for you mkuu.
 
Mungu na akusimamie katika operation hii. Akawe daktari mkuu katika chumba kile cha upasuaji.

Tunaamini atatenda kama tulivyooomba

Sema AMEN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom