Naomba ushauri

magotijuly

New Member
Jun 6, 2012
4
1
Mimi ni binti wa miaka ishirini na saba, nina mpenzi lkn mpenzi wangu huyu aliwahi kubahatika kupata mtoto na msichana mwingine alitengana na mtoto kama mwaka mmoja, mama wa mtoto alimchukua mtoto akampeleka kijijini kwako upareni, kilichopo yule mtoto anaishi mazingira ya ajabu maisha magumu hakuna mtu wakushinda nae nyumbani anashinda kwenye kilabu cha pombe nahii tuligundua baba ya mchumba kwenda kumuangalia mtoto kiukweli yule mtoto anahitaji msaada, mchuchu amejaribu kuongea na familia lkn hawataki kuachia mtoto, imagine ana miaka minne mpk sasa hata shule hajaanza inauma,tatizo ni kwamba mchuchu anampenda sana huyu mtoto kiasi cha kwamba hata tukiwa faragha akimkumbuka tu show yote inaishia hapohapo, nahitaji msaada sipotayari kumucha nampenda tatizo ni mtoto naamini tukifanikiwa kumpata mtoto hata mimi nitafurahia mapenzi,imenitesa mwaka sasa nisaidieni.
 
Kisheria inawezekana kumchukua kwa vile mama hana uwezo wa kumhudumia
 
Nina wasiwasi utakuja kumgeuza housegirl huyo motto in the long run. Kama sio jitetee
Mimi ni binti wa miaka ishirini na saba, nina mpenzi lkn mpenzi wangu huyu aliwahi kubahatika kupata mtoto na msichana mwingine alitengana na mtoto kama mwaka mmoja, mama wa mtoto alimchukua mtoto akampeleka kijijini kwako upareni, kilichopo yule mtoto anaishi mazingira ya ajabu maisha magumu hakuna mtu wakushinda nae nyumbani anashinda kwenye kilabu cha pombe nahii tuligundua baba ya mchumba kwenda kumuangalia mtoto kiukweli yule mtoto anahitaji msaada, mchuchu amejaribu kuongea na familia lkn hawataki kuachia mtoto, imagine ana miaka minne mpk sasa hata shule hajaanza inauma,tatizo ni kwamba mchuchu anampenda sana huyu mtoto kiasi cha kwamba hata tukiwa faragha akimkumbuka tu show yote inaishia hapohapo, nahitaji msaada sipotayari kumucha nampenda tatizo ni mtoto naamini tukifanikiwa kumpata mtoto hata mimi nitafurahia mapenzi,imenitesa mwaka sasa nisaidieni.
 
Mwambie mchuchu afanye jitihada aweze
kumpata mtoto...........

je na wewe uko tayari kumlea mtoto wa mchuchu kwa mapenzi yote
usiwe unahitaji mtoto aje ili show yenu isivurugike.......!!!!!!
 
Mbona ma house girl wamejaa kwann nimfanye hivyo mtoto wa mwenangu? wkt na mm ni mwanamke? je wakwangu akifanyiwa hivyo mm nitafurahi unadhani?? wala sina hizo fikra nahitaji mtoto apate haki yake yake ya msingi elimu ambayo itakuja msaidia baadae, na kutoa kwenye shida
 
Amini napenda watoto kutoka moyoni mwangu thats sifurahii maisha anayoishi yule mtoto natamani hata saa hii aje me am ready
 
I understand ur feelings ,fata lawyers mchukue mtapata baraka! Utamsaidia pia.
Unaongeza credits kwa mchuchu!lol
 
hongera bi dada kwa moyo wa upendo
mwambie mchuchu aende ustawi wa jamii
ni dhahiri huyo mama hana uwezo wa kulea mtt
thats y kampeleka kwao,baba atapewa mwanae kiulaini!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom