Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Naomba kuuliza ni vitu gani vinamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume?
wanawake hatufanani
kila mmoja ana vitu avipendavyo!!!
​mwnye pesa zake hahaaaaa!!mara utasikia tall.handsome.......
mwenye kitambifunguka basi.
mwenye kitambi
mnene anaetoka jasho kwa wingi lol!!
Pesa mkuu......
According to me!!!!!!
mwenye kitambi
mnene anaetoka jasho kwa wingi lol!!
Naomba kuuliza ni vitu gani vinamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume?
Pesa mkuu......
According to me!!!!!!
U can't be serious.
Am more than serious.....
si nimesema according to me au!!!!!!
Nimeelewa ila labda ufunguke kidogo mkuu, ni mwanaume wa muda tu(for good times ) au unaangalia pesa kwa mtu ambaye unatarajia awe mume wako?