Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana MMU nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu. Mimi ni binti, kwa umri wangu huu wa Miaka 28 tayari nimeshakuwa na Mahusiano na wanaume 14 na pia nimeshatembea na wanaume karibia 25, wale wa...
3 Reactions
230 Replies
36K Views
Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo? Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rafiki wa kike wa dada yangu ananitaka eti niwe namgegeda. Kiumri ni mkubwa kanizidi miaka sita.. Mara nyingi alikuwa ananitoa out, na sikuhisi chochote coz nilimchukulia kama dada. Baada ya...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi! Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa...
5 Reactions
50 Replies
10K Views
Nimekuwa katika harakati ya kutafuta mchumba ataenifaa, but chakushangaza demu unaanza tu kuchart nae au kumtembelea ktk kuanza hatua za mwanzo za urafiki na akihisi tu ushampenda... Utasikia tu...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Naombeni msaada nifanye nini ili niachane na PUNYETO.Nimeoa lakini sijisikii kufanya mapenzi na mke wangu zaid ya PUNYETO.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi. Sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Utakuta kuna demu mkali tu anakuvutia ukaamua kumfukuzia Ila siku akikuvulia mkagegedana, wazungu wakishatoka tu unaanza kujuta ni kwanini umefanya tendo lile Jamani huku si ni kutamani tu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf, nimefurahi kupata sehemu ambayo naweza kusema imenisaidia kujua mawazo ya watu na jinsi gani tunaweza kusaidiana katika masuala mazima tunayokabiliana nayo katika maisha yetu...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Umekwenda Ofisini kwa watu kuwarekebishia Sinki lao ambalo wanalalamika kuwa limeziba. Basi ile unaingia kwa Ofisi unakuta Sekretari ni Mchuda mmoja msupuu kinoma, basi unajiapiza ni lazima utupe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1. COROLLA. ~ prostitute type.These help in time of needs, more like a taxi. 2. BMW.~ Expensive but not wife material. Usually called " wallet virus" 3. NISSAN. ~ Driving school. Every Mike and...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Kitu ambacho nimekifahamu kuhusu mwanamke ambaye are inlove Moja, awaamini kabisa rumors kwamba wapenzi wao wana cheat, japokuwa ni kweli Mbili, wapo tayari kufanya kilakitu kwa nguvu zote zote...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
zifuatazo ni njia ambazo unamuacha mwanamume kwa njia rahisi bila kupigana na wala matatizo kama vile kumwambia kuwa hujui mapenzi na husisimui kabisa na huna mvuto kabisa kwangu halafu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, lakin tatizo la huyo mpenzi wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu. Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi, nakuwaza kila siku mchana na usiku. Usingizi sipati kwa ajili...
1 Reactions
95 Replies
11K Views
Mwanamuziki na mshiriki wa Big Brother Africa mwaka 2012 hayati Goldie Harvey mzaliwa wa Nigeria enzi za uhai wake Goldie alifariki ghafla hapo mnamo February 14, 2013 muda mfupi baada ya kurejea...
8 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom