Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo?
Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
Ndio wapo chini ya marriage reconsoliation bodies. Kwa maelezo zaidi tafuta 'THE LAW OF MARRIAGE ACT, cap 1971 revised 2002. Zinapatikana ktk maduka/maktaba za serekali. Or ingia google utapewa mpango mzima.
Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo?
Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
Wapo shida watu think of marriage counsellors ikifika mda wa divorce tu, ambayo ni lazima uende, ingekuwa vizuri kwenda mara unapoona shida katika ndoa yenu na mnashindwa kuelewana but Watanzania hatuna uzoea huo, tunaona kama a sign of weakness which should not be the case.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.