Mpenzi msomaji wangu, ni wakati mwingine ambao tunakutana katika uwanja huu wa maisha na mapenzi, kwa lengo la kujifunza namna ya kuwa wapenzi bora na kuepukana na tatizo la kuachana ambako...
A recent survey indicates that African Men and Women date atleast 5 partners before they decide to settle down with the one they feel they love but some most especially men continue to have extra...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I hope you are all doing okay!
God is Good All the Time, All the Time God is Good!!!!!!! I recovering well and in a month or 2 ill be...
Mimi binafsi tangu nikiwa chuo nilikuwa ni kisikia hivyo, baada ya kumaliza na kuendelea na kazi nimeona niulizie hali hii ili niendelee kujiridhisha kama nikweli.Na kama hali hii ianaendelea...
Dear frends humu ndani mwenzenu nimeombwa ushauri wa jambo la ajabu ,tena lakunishangaza,kwa jinsi nilivyokuzwa nimezoea kuona heshima katika ndoa,leo mama mmoja ata sijamtegemea ameniambia kuwa...
He wont use condoms, U use pills why? Because he
wants it natural? (think of ovarian cancer and
infertility)
He gets u pregnant,U have aborted like 5
times .why?
Because he is not...
Let this be our Motto as men: ''LOVE YOUR WIFE AND HONOR YOUR FAMILY'' let us encourage each other to build standard families and then a larger community of responsible citizens.
Madereva wa bodaboda licha ya biashara ya kusafirisha abiria, wamezua tabia nyingine ya kufanya ngono na wateja wao wa kike, hasa wanafunzi na wake za watu.
Imebainika kuwa baadhi ya madereva...
Wana jf ni kweli mabiti wa Tanga kwa mapenzi ni hatar? maana nilikuwa namtongoza bint mmoja wa Tanga akaniambia nafahamu una mchumba ila me nikikupa utamuacha mchumbaako,kwa kifup niliingia nae...
Poleni na kazi za siku nzima wana JF, leo naomba nizungumzie familia bora.
Kwanza lazima iwe na utii na nidhamu kati ya wanandoa, hii itasadia kueshimiana na kujishusha miongoni mwao ili kuondoa...
Kenya imependekeza sheria mpya ya ndoa. Ukishindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mtu uliemuahidi unapelekwa mahakamani kushitakiwa na ndoa zaidi ya mke mmoja zitatambuliwa iwapo mume atathibitisha...
Jana ilikuwa siku ngumu kwangu,mpenzi wangu baada ya kuishi nae kwa muda wa miaka 3, Jana alinitamkia tuachane anadai mi niko busy sana kiasi sina muda na yeye ukweli tumefanya mambo mengi pamoja...
Hi!
Leo nimependa kuuliza swali hili maana wachangiaji wengi linapokuja suala la bikira wengine wanaibuka na ule msemo wa sizitaki mbichi hizi.
Wadau karibuni
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu...
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka...
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.