Mlioni PM na mnaohitaji pia!

Mlioni PM na mnaohitaji pia!

CALMAN

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
190
Reaction score
56
Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
 
Dah! nahisi utakuwa umesomea Marketing wewe...unajua kulemba tangazo

hapana hata cjasoma marketing sema tu huwa nina admire sana kila ninachokifanya kiwe kinaufasaha labda itokee errors za kawaida tu
 
AHAHHAHAHHHAHAHHHHHH(nimecheka kwa sauti mjue!) Kaizer kuja huku,hiv jando na unyago si mlikuwa mnafundishwa kusololesha,sasa ilikuwaje tukaviacha i see!
on sasa hapa watu wanatokelezeya na mistari ya kakangu yuko russia anasomea udaktari!sasa ndo nimerudi!
ehehehhehhe!
Kongosho nikipata mtoto wa kiume ntamleta umlee asee!
 
Last edited by a moderator:
hapana hata cjasoma marketing sema tu huwa nina admire sana kila ninachokifanya kiwe kinaufasaha labda itokee errors za kawaida tu
na kweli mwaya!
achana nae huyu watu8 anataka zitokee errors zisizo za kawaida ukakosa mke bure mwaya!watu wengine sio kabisa!
 
Last edited by a moderator:
No Madame x sema ni muda mrefu sema huenda hata wamekata tamaa maana ni muda mrefu sana
kweli asee muda wote huo!
we madame x kwani hujui safari ya russia ilivo mbali,sa ulitaka awajibuje hizo pm zao!
 
Last edited by a moderator:
Basi umetishaaaa kama kimeta...jiandae kupokea miPM kibaoooo

hapana hata cjasoma marketing sema tu huwa nina admire sana kila ninachokifanya kiwe kinaufasaha labda itokee errors za kawaida tu
 
Bila shaka kigezo cha neno "Russia" na kaka yaku kusomea "Udaktari" ni mtego!

Hata kama ulikuwa Chamanzi wataamini tu!

Kilalakheri mkuu!
 
AHAHHAHAHHHAHAHHHHHH(nimecheka kwa sauti mjue!) Kaizer kuja huku,hiv jando na unyago si mlikuwa mnafundishwa kusololesha,sasa ilikuwaje tukaviacha i see!
on sasa hapa watu wanatokelezeya na mistari ya kakangu yuko russia anasomea udaktari!sasa ndo nimerudi!
ehehehhehhe!
Kongosho nikipata mtoto wa kiume ntamleta umlee asee!

vizuri sana kucheka maana kitaalamu umezalisha kitu kina itwa endophins go and look for benefit of it hutoacha kucheka
 
Last edited by a moderator:
images
 
na kweli mwaya!
achana nae huyu watu8 anataka zitokee errors zisizo za kawaida ukakosa mke bure mwaya!watu wengine sio kabisa!

Mtani mie nipo kando kabisa...nilikuwa natoa credits tu na kumtia moyo mshikaji

hem pisha huko watu tunatoa updates,ala!

teh teh...jiandae kupelekwa kwa Putin...chezeya nchi yenye kumwagika snow badala ya mvua
 
vizuri sana kucheka maana kitaalamu umezalisha kitu kina itwa endophins go and look for benefit of it hutoacha kucheka

cha!
kumbe na we ni daktari!
au ulivokuwaga russia ulikuwa unasomaga vitabu vya bro,ila bora ulikuwa unasoma vile vitabu manake lile baridi unafkr ungefanyaje kakangu!
 
Back
Top Bottom