Rafiki wa dada yangu ananitaka.....

Rafiki wa dada yangu ananitaka.....

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Rafiki wa kike wa dada yangu ananitaka eti niwe namgegeda. Kiumri ni mkubwa kanizidi miaka sita.. Mara nyingi alikuwa ananitoa out, na sikuhisi chochote coz nilimchukulia kama dada. Baada ya kuondoka na kwenda mkoa mwingine kimasomo ndipo alipoamua kunitamkia kuwa ananitaka, na anataka aje nimpe.... tena anataka azae na mimi kwa madai ya kua ninasifa anazozitaka yeye,, Anasema alikua anashindwa kunambia ila ni muda mrefu alikua ananitaka.

Aliachika akiwa na watoto wawili, wakwanza yupo form 2, wapil darasa la 7. Mbaya zaidi mdogo wake ni rafiki yangu japo hatujaonana kwa miaka kama minne hivi... Nifanyaje?
 
Hivi hili nalo ni la kuuliza uchukue uamuzi gani ndugu!!
Kwa ufupi angalia ndoto zako za kimahusiano, je ulishawahi kupanga au kutamani kuoa au kuwa na mahusiano ya namna hiyo?
 
ongea na sista akupe ushauri.....
 
Wakati mwingine kumshauri mtu kwa usahii ni lazima ujue umri wake kwanza
wewe una umri gani?
 
Rafiki wa kike wa dada yangu ananitaka eti niwe namgegeda. Kiumri ni mkubwa kanizidi miaka sita.. Mara nyingi alikuwa ananitoa out, na sikuhisi chochote coz nilimchukulia kama dada. Baada ya kuondoka na kwenda mkoa mwingine kimasomo ndipo alipoamua kunitamkia kuwa ananitaka, na anataka aje nimpe.... tena anataka azae na mimi kwa madai ya kua ninasifa anazozitaka yeye,, Anasema alikua anashindwa kunambia ila ni muda mrefu alikua ananitaka.

Aliachika akiwa na watoto wawili, wakwanza yupo form 2, wapil darasa la 7. Mbaya zaidi mdogo wake ni rafiki yangu japo hatujaonana kwa miaka kama minne hivi... Nifanyaje?

Muowe!
 
Hivi hili nalo ni la kuuliza uchukue uamuzi gani ndugu!!
Kwa ufupi angalia ndoto zako za kimahusiano, je ulishawahi kupanga au kutamani kuoa au kuwa na mahusiano ya namna hiyo?

100/100
 
27yrs old[/QUOTE Sometime sio razima uweke uzi hapa jf.Unamiaka 27 arafu usijue cha kufanya kuhsu huyo Dada.
Kama unataka fanya,kama huwezi kaa kimya.au unataka tukushauri umwoe kabisa.Haya ushauri wangu muoe kabisa
 
angalia uhusiano wa huyo rafiki na dada yako may be anataka kulipa kisasi, amejigundua positive na may be dd yako amemuudhi so take care
 
Mzabzab angekwambia gegeda tu mwanangu tena kwa raha zako.
 
Back
Top Bottom