umeshakuwa mraibu. kunapost nyingi humu zinazoelezea njia za kuacha, pia kuna shuhuda za watu wengi ambao walikuwa waraibu na sasa wameacha.
Mimi nina amini kuna namna mbili za uraibu huu. ya kwanza ni ya mazoea na ya pili ni ya kipepo. kila moja ina namna yake ya kutatua. inabidi ujue kuwa upo katika kundi gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.