Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
Sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama umempenda,muoneshe kama umempenda ili awe na matumain lakin usimkubali haraka.
Sisi tunaamin ukikubali haraka basi utakuwa kicheche,mtuzungushe zungushe.Pia siku za kwanza kwanza msipende kutuomba hela sababu ukiomba hela mapema unaonekana ujatulia,alafu mkiomba hela muite sana neno sweet, etc.
Pia mjifunze kupetipet,kubembeleza,kutabasamu ata jitaidi kutuma msg nyingi kama nimekumiss ata kama hujammiss.Pia kukiwa na ugomvi usipanic bali kuwa mwepesi sana kuomba msamaha hapo mapenzi yatadumu.
Pia muonyeshe unampenda,mkifanya hivo na sisi tutawapenda sana wala kuachana kutashindwa.
Mwisho usiwe muda mwingine uko unachat kwenye simu sababu sisi tunaamini utakuwa unachat na wanaume ata kama atutouliza.