Ndugu zangu naomba niwasalimu na niwaulize.
Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae. Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka.
Jambo la ajabu anaona wale...
Toka nianze harakati zangu za kujitafutia hela huyu mama nilikua nampa heshima sana hapa mtaani kwetu lakini tangu mumewe ameondoka kwenda kijijini kwao nimetokea kuzoeana sana na huyu mama.
Kuna...
1. Unakwenda dukani kwa mangi kukopa (kuongezea deni) ukijua kabisa mangi anakudai na atakusimanga simanga, wengine wanataa kununua kondom, mwingine kaiba mayai 2 kwa jirani anakuja kuuza unakuta...
Nipo serious, wakuu natafuta mchumba mnyamwezi awe anatoka Tabora au sehemu yoyote ile. Ila awe radhi kuishi nje ya nchi, suala la elimu sibagui hata kama awe ameishia darasa la 7.
Tahadhari...
Wadau ebu tusaidiane hapa! unaondoka nyumbani unamuaga mkeo vyema
unaenda kibaruani na unamuambia kuwa hali ya kutafuta huko si nzuri na
yeye hakupi ushirikiano wowote iwe kukutia moyo na hata...
Kwa ufupi...
Kutoa ahadi ni rahisi lakini kutimiza
ahadi ndio tatizo! Nice, binti mrembo
mtoto kigogo wa benki kuu tawi la
Mwanza, anampa ahadi mpenziwe
Robert ya kuwa atampenda milele...
awe na sifa zifuatazo
age kati ya 20-22
mkristo na mcha mungu
awe amesoma angalua frm 4
awe anaishi dar au moro
kwa mawasiliano zaidi
0753756956
0714303414
Wakuu poleni na kazi na saumu kwa mliofunga!
Napenda washirikisha jambo au mambo ambayo naamini wengi wetu tunayaona au tumeyapitia. Katika kusoma kwangu toka primary hadi chuo na taaluma...
Habari,
Kuna haka ka tabia kamekua sasa, mkaka unampa mimba mdada/mchumba then ndo utangaze ndoa, je kuna mapenzi ya kweli hapo?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wakuu habari zenu mimi ni kjana ambaye bado nipo masomoni chuo lakini nimedhamiria kuoa. Age iwe 18+ wala kabila sio tatizo kwangu ila huyo mke anatakiwa awe muislam.Mengine tutazungumza private...
Wadau nashuhudia tukio la kusisimua mda huu, jamaa kashikwa na mke wa mtu hapa Kitivo Lushoto, adhabu aliyopewa ni kuogeshwa maji ya pilipili, duuh hii ni noma eti.
Njemba inalia kama katoto...
Habari zenu marafiki zangu
Leo mabest zangu nimekuja na somo hili KUWAFUNDA
hususani WANAWAKE WOTE haijalishi una miaka 18 -50
au wewe ni mzee,pokea ili somo ambalo najua atakayeitii...
Hii ni muhimu kwa wadada ambao hawajaolewa na wanapenda maisha ya ndoa
-Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
-Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na...
For we are unable to chart,
In the Language we had,
When I look at You,
And see my pay slip,
In your Eyes,
I feel empty
And sapped.
It is you I accuse,
Because your love is lost,
And you only...
Ukisikia Sentensi yoyote inayoanza na hili neno kwenye mapenzi yenu,ujue kifuatacho hapo si salama kwa afya ya penzi lenu:
KAMA KWELI UNANIPENDA..... ninunulie japo Vitz tu mpenzi nimechoka...
Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.