Mpenzi wangu ananidanganya sana, naombeni ushauri

JOHN ze DON

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
140
Reaction score
135
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, lakin tatizo la huyo mpenzi wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya.

Mara ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi na hakuonyesha dalili yoyote ya ubikra, mara ya 3 aliniambia elimu yake ni form6 alimaliza O level mwaka 2010 na akapata div 1 ya 17, ila alivushwa darasa kipindi yuko A level ndo maana yuko chuo mwaka wapili saivi.

Nikimuulizia majina ya classmate aliomaliza nao mwaka huo anataja wengine tofauti na walio kwanye list ya matokeo yake. Jana nimemuuliza matokeo yake na kumwambia kuwa ye ni muongo aniambie ukweli kama kweli ananiamini lakini amechukia na kusema hajisikii kuongea atanitafta, nasikitika hajanitafata mpka saivi.

Naombeni ushauli wenu nimpotezee au nijishushe nimtafute.
 
Hahhahahahaha..... Jamani nimecheeeeeeeka hata sijui kwa nini!!
 
Ahahaaaa hapo hajakuambia kikwete baba yake, eheheee, alipata division ngapi?
 
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka m1 sasa, lakin tatizo la huyo mpenz wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya., mala ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi na hakuonyesha dalili yyte ya ubikra, mala ya3 aliniambia elimu yake ni form6 alimaliza Olevel mwaka 2010 na akapata div 1ya17, ila alivushwa darasa kipindi yuko A level ndo maana yuko chuo mwaka wapili saiv, nikimuulizia majina ya classmate aliomaliza nao mwaka huo anataja wengne tofaut na walio kwanye list ya matokeo yake. jana nimemuuliza matokeo yake na kumwambia kuwa ye ni muongo aniambie ukweli kama kweli ananiamin lakin amechukia na kusema hajickii kuongea atanitafta, nackitika hajanitafta mpka saiv., naombeni ushauli wenu nimpotezee au nijishushe nimtafte.

Kama unaenjoy uongo wake; endelea naye, tofauti na hivyo unangoja nini? chapa lapa.
 
Hakuna mapenzi hapo huyo anakuzuga 2 labda darasa la saba
 
Pole na wewe mdanganye akijua uchungu wa kudanganywa ataacha.
 
Yaani wadada wenye uongo wa hivyo, mara nyingi hata elimu yao inakuwaga ndogo sana
 
Nimecheka na hiyo dizaini ya uongo wa huyo msichana wako hapo nilipoweka red.

Nilipobold uandishi mbaya,matumizi mabaya ya l na r haya tuambie nawewe O level ulipata daraja gani na somo la kiswahili hukufeli kweli?
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka m1 sasa, lakin tatizo la huyo mpenz wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya., mala ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi na hakuonyesha dalili yyte ya ubikra, mala ya3 aliniambia elimu yake ni form6 alimaliza Olevel mwaka 2010 na akapata div 1ya17, ila alivushwa darasa kipindi yuko A level ndo maana yuko chuo mwaka wapili saiv, nikimuulizia majina ya classmate aliomaliza nao mwaka huo anataja wengne tofaut na walio kwanye list ya matokeo yake. jana nimemuuliza matokeo yake na kumwambia kuwa ye ni muongo aniambie ukweli kama kweli ananiamin lakin amechukia na kusema hajickii kuongea atanitafta, nackitika hajanitafta mpka saiv., naombeni ushauli wenu nimpotezee au nijishushe nimtafte.
Ila huo uongo wa huyo msichana mbaya sana snowhite njoo uone mwanafunzi wako huku
 
Last edited by a moderator:
nimecheka na hiyo dizaini ya uongo wa huyo msichana wako hapo nilipoweka red.
Nilipobold uandishi mbaya,matumizi mabaya ya l na r haya tuambie nawewe O level ulipata daraja gani na somo la kiswahili hukufeli kweli?
Ila huo uongo wa huyo msichana mbaya sana snowhite njoo uone mwanafunzi wako huku

haaa we amu wewe ntake radhi, mi mwanafunzi halali wa snowhite, najua hanaga wanafunzi wa aina hii! hata siku moja!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka m1 sasa, lakin tatizo la huyo mpenz wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya., mala ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi na hakuonyesha dalili yyte ya ubikra, mala ya3 aliniambia elimu yake ni form6 alimaliza Olevel mwaka 2010 na akapata div 1ya17, ila alivushwa darasa kipindi yuko A level ndo maana yuko chuo mwaka wapili saiv, nikimuulizia majina ya classmate aliomaliza nao mwaka huo anataja wengne tofaut na walio kwanye list ya matokeo yake. jana nimemuuliza matokeo yake na kumwambia kuwa ye ni muongo aniambie ukweli kama kweli ananiamin lakin amechukia na kusema hajickii kuongea atanitafta, nackitika hajanitafta mpka saiv., naombeni ushauli wenu nimpotezee au nijishushe nimtafte.

Mi nauliza huku napita, na wewe ni bikira?
 
Hata jina unalolijua nna wasiwasi ni fekelo
 
Mmmh... Na kakupata kweli wa kumdanganya..!

Subiri, ataendelea kukudanganya mpaka akili yako ikae sawa..!
 
ww mvumilie ulmwengu wa sasa hamna mkwel. Hasa hawa dd ze2 m2 kashatoa mimba 5 halafu anasema yy n bkra.
 
Back
Top Bottom