Nakupenda sana

Nakupenda sana

Kijallo

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
409
Reaction score
61
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu. Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi, nakuwaza kila siku mchana na usiku.

Usingizi sipati kwa ajili yako. NAKUPENDA SANA.....................
 
do you have lots lots of cash?
How many dollars you have in wallet right now?
Bado unazitafuta pesa kwa nguvu hivyo? Ngoja aje kungwi wako madam Heaven on earth atakushauri vizuri, naona bado hujatulia.
 
Mmh, kula kwa shkamoo raha sana
Una muda mwingi wa ku-hallucinate
 
Wewe ............................................. Njoo haraka uku unatafutwa.
 
King'astiiiiiiiiii nikigoma siku nyingine kulipa ada usianze kuniletea mahubiri ujue!oh
 
Last edited by a moderator:
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu.Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi,nakuwaza kila cku mxhana na usiku.Usingizi sipati kwa ajili yako.NAKUPENDA SANA.....................
Hahahahaha unampenda huyo kwani ni MAMA yako mkuu? hahahahahahahahaha
 
mmmmh ngoja nitafute siti nzuri nijipatie kinywaji baridi.
 
Hongera kwa kupenda kiasi hicho ila........
Uache kadirisha kadogo kakutokea just in case ukija kutendwa.
"Ni jambo jema kupenda ila inapendeza sana kupendwa na umpendae"
 
Wewe ............................................. Njoo haraka uku unatafutwa.
Hilo jina lako mmmmh, humu ndani linatumika kama kifupisho kwenye mada maalumu.

Sasa sijui unazo mbilimbili...
 
Mmmh sasa mwalimu snowhite,mbona unaniacha solemba,hebu niambie unyamwezini tunaenda lini?ha ha ha ha mtani mzima lakini?

dadako Kaunga si ulimwachia hela ya kuninunulia shela na viatu!
sasa kachikichia nayo anasema heti sina jishepu kama lake!so amenidiskwalifai kuwa wifiye!na mie hiv nsivotaka shari nikajikalie pembeni mie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom