Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa...
Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia...
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo...
Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada...
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauli na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,
Ameondoka na watoto wetu wawili kitu...
Nimegundua sababu ya wanandoa kutokuachana hata kama Wana ugomvi ndani,....ni mazoea.
Ule muda wa amani kidogo tu,mkacheka pamoja na kujadili maendeleo ya familia pamoja....huo muda ni kumbukumbu...
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the...
Rules of the game;
1. Never mention the exact number of men you slept with if that is necessary for you to provide the number, try to divide it by 10.:p
2. Never display your problems on the...
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini.
2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope...
Kweli Hawa viumbe wa kuishi nao kwa akili.
Katika kupiga story na mabinti kama watatu hvi kuhusu mambo ya relationship kila mmoja akasema anatamani kuwa ktk mahusiano na mwanaume mweusi japokuwa...
Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo. Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi...
sehemu ninayoishi kuna jirani ambazo ni familia 3. Kati ya hizo familia nimetokea kuzoeana zaidi na famikia 1 ambayo, ina mke, mume, mtoto wa kiume miaka mitatu na kuna wa kike ambaye anasoma...
Wakuu,kwa kautafiti nilikokafanya,nimegundua kwamba wadada wengi warembo hawapendi kabisa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume ambao ni walimu!hvi ni kwa nini?
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.
Kwanini...
Kuna jamaa mmoja huwa naishi nae yaani asione sketi imepita yeye ni halali yake, ni mtu mwenye wivu sana coz ameshanichonganisha na mpenzi wangu ili yeye ampate, anapenda hadi shemeji zake sijui...
Nina rafiki yangu mmoja ambae tumesaidiana mambo mengi hasa kielimu takribani miaka 6, hasa hasa amenisaidia ishu za financial (loan) coz kwao wapo vizuri kidgo, sasa ishu inakuja wapi huyu jamaa...
Jumatano moja kuna rafiki angu sana, just call him my bro as nimekua nae tangu vidudu alinialika kwa mlo wa usiku. Jamaa alikuwa ndo kamuoa just miezi kadhaa Jasmin ambaye ni mshikaji wetu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.