Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika kizazi tulichopo ndoa ni concept ambayo tayari imeshapitwa na wakati. Muundo wa ndoa ulisukwa kwenda sambamba na mfumo dume, katika zama hizi za usawa wa kijinsia lazima taasisi ya ndoa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na...
1 Reactions
8 Replies
697 Views
Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine. Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika. Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi... Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu...
2 Reactions
11 Replies
488 Views
Eeh katika harakati Za kidachu. Bhana nikakutana na mtoto mmoja black shape fulani ya kwenda nikaomba Namba mzee mali ikaita lakini pale pale nikamuuliza kama kaolewa akasema ndio 🥲nikasema...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wapendwa wababa, wamama, vijana wa kike na wa kiume, mliyooa na kuolewa na wenye familia. Naomba tujadili juu ya suala hili; ya kwamba mwanaume akitaka kuondoka nyumbani anatakiwa kuomba Ruhusa...
1 Reactions
129 Replies
16K Views
… 1. USIJITENGENEZEE MAHUSIANO MENGINE YANAYOZIDI MAHUSIANO YAKO NA MWENZI WAKO: Pasitokee MTU mwingine (wa jinsia yeyote) ambaye atakuwa na umuhimu wa juu zaidi kuliko mwenzi wako. 2...
2 Reactions
2 Replies
812 Views
Yaani kwa sasa ukiwa na hela mwanaume huongei sana wadada utaskia wapo single au wanamahusiano yanawasumbua hivyo wapo tayari kuanza na wewe,
4 Reactions
1 Replies
200 Views
Husiano hili lipo kwenye hatihati ya kuvunjika, sitaki livunjike kwasababu itakuwa ngumu tena kuanzisha mengine kutokana na historia yangu juu ya mahusiano kuwa tata vitimbwi haviishi!. Huyu...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
5 Reactions
16 Replies
720 Views
Kwa sababu umempa nguvu zako. Because you have given her your own power. How? By loving her too much. When you love someone too much you give her all of your energy. So she becomes you. How...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
HAbar za wakati. Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko Baada ya kumueleza hisia...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji. Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa Emu naombeni msaada Tumieni sana busara
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa. Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole...
3 Reactions
144 Replies
16K Views
HERI YA PASAKA Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo. Kiukweli inaniuma, hapa najaribu...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana ila tukajikuta tumeachana. Sasa jana kanipigia simu eti anaomba nimpokee mdogo wake nikae nae japo kwa mwezi mmoja amehamishiwa mkoa ninaoishi wakati...
1 Reactions
75 Replies
10K Views
Back
Top Bottom