elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
sehemu ninayoishi kuna jirani ambazo ni familia 3. Kati ya hizo familia nimetokea kuzoeana zaidi na famikia 1 ambayo, ina mke, mume, mtoto wa kiume miaka mitatu na kuna wa kike ambaye anasoma boarding nahisi atakuwa 16 hivi.
Mwanaume toka zamani nasikia ni bonge la fataki anapenda sana totozi, ila mkewe katulia na mwanaume uwa anamlazimisha mkewe avae hijab na mtoto wake huyo wa kike ambaye hapendi kuvaa hayo mavazi lakini uwa nadiriki hata kumpiga.
Katika pita pita zangu na kuongea na vijana wa mtaani uwa napata habari kuwa mwanaume ni swaga swaga kuanzia wanafunzi wa sekondari, bar maids, house girls wa watu, wake za watu yani yeye ili mradi twende mbele. Kiukweli mwanaume ukimwangalia anaoneka mstaraabu halafu ni mtu ambaye yuko smart 24/7.
mkewe kwa sasa ni mjamzito mwezi wa kwanza aliamua kuleta mfanyakazi wa ndani, basi sijui alimpata wapi akamleta. Yule house girl alikuwa mzuri kweli kuliko hata mama mwenye nyumba hadi mimi nilimtamani na niliwaza huyu mama kwa habari nazosikia juu ya mumewe mbona kazi ipo.
Wakati huo huo jirani mwingine alikuwa na house girl ambaye inaonekana yeye na huyu house girl wa jirani fataki wanafahamiana kwa hiyo walikuwa marafiki.
Huyo house girl wa jirani mwingine aliacha kazi tena kwa kumtusi boss wake baada ya week 3, nikasikia mke wa jirani fataki kaahisi mmewe anamtaka house girl kwa hiyo kiroho safi kampa mshahara house girl wake kamwambia aondoke.
Nakumbuka ilikuwa weekend yule house girl eti baada ya kuwambiwa aondoke kasema anaenda ita bajaji kaenda then karudi na yule house aliyekuwa anafanya kazi kwa jirani mwingine.
Wakaanza mshambulia mama wa watu wakimsema mmewe wafataki, wote wkadai kawatongoza, huyu akawa anadai mmewe alikuwa anamvizia usiku chumbani anamwambia ana uchu na game kisa hapati mkewe mjamzito, basi wambeya wa mtaa wakajaa pale, mme kapigiwa simu kakana katakata japo ungemwangalia unaona yanayosemwa ni kweli watoto wakasema mambo mengi baadae wakabeba mizigo wakaondoka zao nyuma wakaacha kizaa zaa ambacho sisi na majirani wengine ilibidi kufanya shuguli ya ziada kumfanya mke aamini kuwa wale wasichana waongo japo kiukweli tulihisi kuna ukweli.
Sasa kilichoniacha hoi, mpaka kufikia jana ilikuwa nadhani ni zaidi ya mwezi toka hilo tukio litokee. Nikiwa ndipo naingia kitandani kulala nikapigiwa simu na kijana flani wa pale mtaani akaniambia, kuwa alikuwa anatoka guest flani si akakutana na jirani fataki akiwa na yule housegirl.
Nilibaki nashangaa yani na kumuabisha kote kule still bado wako wote.
Namuonea huruma sana mkewe masikini atamuua....
Sisi wanaume noma aisee...