Utafanyeje ikiwa rafiki wako wa JF anakupigia simu usiku wa manane? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafanyeje ikiwa rafiki wako wa JF anakupigia simu usiku wa manane?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Humphnicky, May 19, 2011.

 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mnyang'anye namba yako ya simu!!!

  Kama hataki kukuelewa we mblock tu....usiku wote huo anataka kukuharibia kwa mkeo!
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  maswali mengine bana! haya, nitampiga kibao
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  kibaya zaidi sijawahi kumtongoza, yaani hapa nina hasira kama Mungiki
   
 5. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Pole sana. Mpotezee tu
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  heee,makubwa,bila shaka hatokusumbua tena kwa sababu huu ujumbe atakuwa ameshaupata,kama huingia jf mara kwa mara.kwa nini anakosa adabu? au mwambie simu akipiga atapokea wife.mpaka kuyasema humu,inaonyesha umeshachoka na usumbufu wake.kumbe baadhi ya wana jf wana mambo
   
 7. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mweleze mkeo..alafu siku muachie mkeo apokee simu.
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  muachie wife wako apokee simu... nadhani hatarudia kukupigia tena
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Wanaume waongo sana, bila shaka kwenye pm ulimtongoza, ukammega na hukumweleza ukweli kuwa umeoa.
  Mwenzio kanogewa sasa ndio unamkataa.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  dawa nikumpa mkeo simu amkataze mwenyewe usumbufu huo.
   
 11. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mweleze mkeo aelewe kabla mambo hayajaharibika.

  huyo rafiki anataka kuharibu ndoa yako kaka, jipange
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nipe I'd yake kwa pm
   
 13. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haya bana nitamwambia the number you are calling is not rechable p'se try again later
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Namba yako ya SIMU aliipataje? Kupitia Yellow Pages au wewe kwa UKWARE wako ulimpatia namba mwenyewe?
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  rafiki wa JF namba ya simu kapataje?
  Kwenye PM hamtosheki kuwasiliana?
  Kama mmepeana namba ya simu si mmalizane hukohuko au unataka kumshitaki kwa mods aliwe BAN?
  Once mmepeana namba ya simu na mnawasiliana, sijui mmeshaonana, then iyo ni nje ya JF na hii thread ni utumbo
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Nahisi atakuwa anakusoma sasa, so usihofu ataacha. Muache mwenzio wewe, mambo yote mmalizane humuhumu
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  asa ndugu yangu, mambo yenu ya private huko wayaleta hapa ya nini?

  Namba umpe private, muwasiliane private, kisha leo uje umwanike hapa eti anakusumbua usiku?

  hapa unamdhalilisha mkuu wangu...kwa nini usimwambia tu direct?
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:

  The Finest (Today) ​
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  leo saa nane kasoro kumi na saba usiku nakupigia simu, siwezi kukumiss namna hii useme nisipige, no way
   
 20. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  dawa kumuachia mkeo simu aongee nae
   
Loading...