Je, huyu anaweza kuwa rafiki mzuri?

Je, huyu anaweza kuwa rafiki mzuri?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Nina rafiki yangu mmoja ambae tumesaidiana mambo mengi hasa kielimu takribani miaka 6, hasa hasa amenisaidia ishu za financial (loan) coz kwao wapo vizuri kidgo, sasa ishu inakuja wapi huyu jamaa alishawahi kunichukulia msichana wangu nikapotezea, kwa sababu wao walikuwa Dar na mimi nilikuwa nasoma Mwanza basi jamaa akamchukua na wakawa wapenzi iliniuma nikapotezea na ubest ukaendelea.

Baada ya hapo picha likaendelea pale ambapo yeye ananikandia au kunisema vibaya kwa wasichana zake ili ata wasiongee na mimi coz mimi naturaly ni mtu mchangamfu na wasichana wengi hupenda story na mimi basi hata kama msichana ashawahi kuwa rafiki yangu before akishakuwa nae tu basi msichana hukata hata ule urafiki wa kawaida na mimi.

Ikafika mahala yaani kule kushirikishana kukawa hakupo maana anataka kujua vyangu ila vyake hataki vijulikane.

Je anaweza kuwa mtu mzuri wa kuishi nae au kufanya nae jambo la muhimu?
 
Mkuu huyo aliyekufikishia huo ujumbe mchunguze vizuri kama alifanya mistake moja ya kuchukua mtoto mzuri wako sidhani kama anaweza rudia kiongozi wangu
 
Mweleze ukweli akijirekebisha sawa. Asipobadilika achana naye kwa amani.
 
Mweleze ukweli akijirekebisha sawa. Asipobadilika achana naye kwa amani.
nilimsamehe kipindi hiko na kumfanya best friend kilichonikeraa alianza kufanya mabo kwa siri sana nikaanzaa kuhofu kidogo kuhusu yy
 
Mkuu huyo aliyekufikishia huo ujumbe mchunguze vizuri kama alifanya mistake moja ya kuchukua mtoto mzuri wako sidhani kama anaweza rudia kiongozi wangu
sijakuelewaa kiongozi wangu
 
nilimsamehe kipindi hiko na kumfanya best friend kilichonikeraa alianza kufanya mabo kwa siri sana nikaanzaa kuhofu kidogo kuhusu yy
Mwambie sababu zako zakuona huoni umuhimu wakuendeleza urafiki wenu....ili uwe na amani na yeye ajifunze kupitia makosa yake.
Uvae uwanaume.
 
Mwambie sababu zako zakuona huoni umuhimu wakuendeleza urafiki wenu....ili uwe na amani na yeye ajifunze kupitia makosa yake.
Uvae uwanaume.
Hahahaa nilichomfanyiaa mimi nilikaa kimya nilikuwa simtafuti nae akauchuna juzi kati akaniambia ase mbna unakuwa kimya tukiendelea ivi tutapotezana mm nikamwambia usiwazee
 
Hahahaa nilichomfanyiaa mimi nilikaa kimya nilikuwa simtafuti nae akauchuna juzi kati akaniambia ase mbna unakuwa kimya tukiendelea ivi tutapotezana mm nikamwambia usiwazee
Usimwogope mwambie ukweli....utamsaidia yeye na marafiki wengine mbeleni
 
Mchunguze kwanza huyo aliyeleta story kuwa jamaa anakuspy.
hapana ni mm mwenyewe niliobserve na kuusu kunisema vby kwa madem zake ni ex wake mmoja aliniambiaga mbna fani anasema ivi kuhusu wewe so nikarelate na madem zake wengne waliowah kufanya the same to me
 
Usimwogope mwambie ukweli....utamsaidia yeye na marafiki wengine mbeleni
Nitajitahidi maana mtu hata kama anaenda mahali au anasafiri haniagi na sometime tunalala kitanda kimoja
 
Back
Top Bottom