Vijana hawajali tena maana njaa sasa imewafika pabaya.
Zamani vitu kama hivi viliuzwa kwa usiri na ukimya ila sasa hivi vijana wakiangalia tabu hii ukiunganisha na stress walizonazo wanaona acha...
Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana.
Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto...
Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers".
Kwa sababu 👇👇👇👇👇👇
1.( a) All women belonged to the community.
( b) All mothers belonged to the community.
( c) All children...
Wikiendi murua iwe kwenu wanaJF,
Nikiwa katika shughuli zangu za kutafta maisha, kuna dada alifika ofisini kwangu na kuhitaji huduma, nikamhudumia ila huduma haikuwa kamilifu hivyo nikamuomba...
Ndugu zangu.
Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo.
Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake...
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting...
Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.
Tukaandikishana...
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).
Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam...
Saw this girl, fine looking, thick, cute face.
Nikampa dogo mmoja amempelekee namba anipigie tufamiane kwa hiari yake.
Akaruka na mimi usiku, tukafamiana vizuri tu. Then the next morning...
Riwaya; 'NJAMA'
Mtunzi; A.E MUSIBA (Willy Gamba)
NAONANA NA CHIFU Ndege ilitua kwenye uwanja wa ndege wa mjini Dar es Salaam kiasi cha saa moja na nusu asubuhi. Nilipita harakaharaka katika...
😂😂
Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way...
Habari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.