Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
 
Alafu wakiumizwa utawasikia "wanaume wote hawana maana".

Kumbe kuna mseminari mmoja mpole alimnyanyasa na kumpiga chini akaenda kwa playboy, kisa anajua kukojoza, anajua kuvaa, ana swaga nk.

Ila baadae huwaga wanawakumbukaga hawa wapole umri ukienda au wakipewa mimba na kuachwa,ila ndio hivyo nao wanakuwa tayari kwenye ndoa zao,wanabakia na "ningejua ningejua......ule ulikuwa utoto tu......".
 
Wastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.
Wastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.
Mkishapewaga mimba na kuachwa, ndipo akili zinawarudi na kuwakumbuka hao wanao waboa.
 
Back
Top Bottom