Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,078
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee

Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
 
We falasi kweli asee. Yaani kukasirika kote huko sababu ya ku trend kwa theme fulani. Kwani umelazimishwa kuzifatilia? We si ujikite kwenye mada zako za simba na Yanga au kilimo cha Nyanya iringa.

Yaani kuna watu mna jitakia presha za bure kabisa aisee
 
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee

Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
Yaani inasikitisha sana ,social media ni mada za ngono ,kuonyesha makalio yaani ukiwa kwenye public ni ngumu kuangalia social networks maana unaweza kuaibika.
 
Man sio kwamba ni wajinga sema wewe unataka wafanye nini?

Unataka wawe wanamapinduzi labda?(Tuanze na wewe umefanya nini cha tofauti kwenye jamii yako hili vijana wakutumie kama reference kwenye safari yao ya maisha hapa duniani)
 
Mbona unaanza uoga mapema..!!
Tulia hayo majibu utoe kwenye ulingo utakapokua unachezea makonde km jina la hasimu wako..!!
makonde mwenye aje tu me na ngumi ndoige akikwepa kulia inamfata kushoto anayo akienda dukani ipo haimuachi mtu, mpaka atubu!
 
Tukizungumzia hacking mnatutafuta mtupige, tukiwasema kwenye siasa mnatupoteza, tukisoma tukapata degree mnataka turudi veta!.. Hapa ni kuzungumzia nyash na nyash tu ndo tutakuwa salama
Naunga mkono hoja mkuu..........
 
Bila mapenzi watu wangezalianaje? Hata wewe usingekuwepo
 
Back
Top Bottom