Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Inawezekana vp aseme aninipenda,,,lakini anaweka wazi kwamba nisimwamini??....hivi inawezekana mapenzi yakawepo bila kuaminiana....??? Ninafikiria kumwacha ....unanishaurije????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku. Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
tuna jirani yetu ambaye ana urafiki wa karibu na dadaangu ni dada wa umri kama 29-32 nina kawaida nikitoka job napitia kuwasalimia. jana kama kawa tupo kwenye mgao wa umeme kama saa 7:45 usiku...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimefanya uchunguzi nikagundua 1.wanawake wengi wanaofumaniwa live wanagegedwa na mijaa husamehewa na waume zao na wanaendelea kuishi vizuri tu katika ndoa zao. 2.wanawake wengi wanapogundulika...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mshahara wako 270,000 Handbag yako inagharimu 140,000 Unamiliki GX 110... Hills zako 120,000 Above all, Unatumia Note 3 Then unaenda kanisani kuomba wkt wewe mwenyewe UNATENDA...
14 Reactions
57 Replies
6K Views
Wana jf nishaurin hili dada mwenye nyumba kaonyesha kudata na mim tatizo ni kwamba nina mchumba naye huja nyumbani kwangu kila mwisho wa wik nifanyaje na huyu dada na ametamka yupo tayar ku share...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Natafuta Girlfriend wa kula nae maisha kama tukiivana tutahamia stage ya juu yake
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Mahusiano ya wapenzi au wachumba kuna mambo muhimu kuwa makini kwetu sote iwe wanaume au wanawake na pengine uwazi ni kitu muhimu, kwani wengi tuna mazoea ya kutokusema ukweli, na ipo siku mambo...
3 Reactions
91 Replies
14K Views
wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,, kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,, kwa kweli nimeona ni maisha ya...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
1 KOR. 6:18-19 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
duh, ila mtenda akitendewa bwana, shida sana! wivu si mzuri!
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Jana kijioni jioni napita maeneo ya bar ya Makuti navutiwa na kukata kiu na ka Mountain dew kamoja! Wakati nakaribia kumuita mhudumu, pembeni namuona rafiki yangu wa tangu chuo akiwa na jimama...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Haipendezi kwa mwanaume kum-beep mkewe/girlfriend. Ni bora Mwanamke/girlfriend akafanya hivyo. Kama mwanaume huna salio la kutosha basi bora ukampigia wife/girlfriend kidogo ukimuomba akupigie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
…... Hebu leo tujadiliane Usongo wa Mawazo katika MMU. Tangu zamani pamekuwepo na matukio ya Mauaji ya kimapenzi, ama kusikia Mwanaume au Mwanamke amejiua kutokana na "wivu" wa kimapenzi...
15 Reactions
59 Replies
14K Views
Ni zaidi ya miaka 25 sasa tangu kondomu ilipoingia kwa mara ya kwanza nchini, mengi yametokea kuhusiana na hii kitu mfano zimeuwa watoto waliizichea na kuzimeza kwa bahati mbaya, waume kufumaniwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Salam wakuu, Habari za mchana? Haya, Katika hizi siku za karibuni matokeo ya watu kutendwa na wapenzi yameongezeka kwa kiasi kikubwa for both genders na imefikia hatua mbaya mpaka ya watu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mungu alimuumba Adam na Hawa. Ina maana katika vizazi vyao kuna watakaokuwa na jinsia ya Adam na kuna watakaokuwa na jinsia ya Hawa. Sasa shoga amechukua jinsia ya yupi kati ya hao? Kama watasema...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Back
Top Bottom