Haipendezi Mwanaume Kum-beep mkeo/girlfriend.

Haipendezi Mwanaume Kum-beep mkeo/girlfriend.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Haipendezi kwa mwanaume kum-beep mkewe/girlfriend. Ni bora Mwanamke/girlfriend akafanya hivyo. Kama mwanaume huna salio la kutosha basi bora ukampigia wife/girlfriend kidogo ukimuomba akupigie kuliko ku beep. Ku beep kunapunguza hadhi ya kiume. Tabia hii inajenga dharau! Tuma hata meseji baba, kopa nipige tafu au tuma tafadhali nipigie, au tafadhali niongezee salio! Njia hizi ni bora zaidi kuliko ku beep!
ACHA MARA MOJA KU BEEP MWANAUME! HASA KUM BEEP MKEO AU MPENZI WAKO WA KIKE INAKUPUNGUZIA CREDIBILITY YA KUWA DUME BORA!
Au wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Hahahahahahaaa!
Kwani kubip ni kuishiwa salio au kipaji?
 
Mie sioni kma ni vibaya kubeep let us assume that uko katika eneo ambalo huna access ya vocha itakuwaje!??? na wewe una shida ya msingi!?? Ila pia kuna kufulia aseee au hamjui kama na sie huwa tunatoboka!????
Haipendezi kwa mwanaume kum-beep mkewe/girlfriend. Ni bora Mwanamke/girlfriend akafanya hivyo. Kama mwanaume huna salio la kutosha basi bora ukampigia wife/girlfriend kidogo ukimuomba akupigie kuliko ku beep. Ku beep kunapunguza hadhi ya kiume. Tabia hii inajenga dharau! Tuma hata meseji baba, kopa nipige tafu au tuma tafadhali nipigie, au tafadhali niongezee salio! Njia hizi ni bora zaidi kuliko ku beep!
ACHA MARA MOJA KU BEEP MWANAUME! HASA KUM BEEP MKEO AU MPENZI WAKO WA KIKE INAKUPUNGUZIA CREDIBILITY YA KUWA DUME BORA!
Au wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Janaume la hivyo chaaa hata la bure
 
Haujawahi kuishiwa salio? Inatemegea ntu na ntu,kuna mwingine nkewe/gelufurend wake wanaishi poa ndio maana wanadipuana sometime wanafanyiana hadi udukuzi! Ila ku-dipu gerufulendi mpya ndio nomaaa sanaa!
 
Haipendezi kwa mwanaume kum-beep mkewe/girlfriend. Ni bora Mwanamke/girlfriend akafanya hivyo. Kama mwanaume huna salio la kutosha basi bora ukampigia wife/girlfriend kidogo ukimuomba akupigie kuliko ku beep. Ku beep kunapunguza hadhi ya kiume. Tabia hii inajenga dharau! Tuma hata meseji baba, kopa nipige tafu au tuma tafadhali nipigie, au tafadhali niongezee salio! Njia hizi ni bora zaidi kuliko ku beep!
ACHA MARA MOJA KU BEEP MWANAUME! HASA KUM BEEP MKEO AU MPENZI WAKO WA KIKE INAKUPUNGUZIA CREDIBILITY YA KUWA DUME BORA!
Au wadau mnasemaje kuhusu hili?

Tukielewa maana ya kutafuta nadhani tutaelewa pia maana ya kuishiwa! mara nyingine ukinyamaza kisa umeishiwa mkikutana ni lawama kuwa hujali na huwa wanadai wakisema Ina maana hukuwa na hata ya kubeep? je utamwambia ulikuwa unatunza heshima!? kwa wale wadada wenye kuelewa nini maana ya mapenzi huwa hawajiinui zaidi huwa wanafanya juu chini kuficha madhaifu ya wanaume zao! binafsi sina tabia ya kuweka vocha kwenye simu mara kwa mara na sii kwamba siwezi kufanya hivyo ila mpenzi wangu huwa ana hakikisha ameweka angalau hata vocha ya 5000 kwenye simu yangu hata kama akikuta kuna salio kiasi gani na anasisitiza hiyo aliyoongezea ni kwa ajili yake hivyo nisiwe na sababu ya kusema niliishiwa vocha! Mawasiliano ndani ya mahusiano ni jambo la msingi kwa kila mmoja sasa wewe ukijiinua kwa kutaka upigiwe tu na asikubeep kaa ukijua kuna wenzako wanafunga na kuomba ilimradi MUNGU awapatie angalau huyo anae beep! Mwanamke anayetunza siri za mumewe nyumbani kwake kuna maendeleo! JIULIZE.
 
Hili jambo likitokea basi liwe dharula, lakini kila siku haifai
 
mimi mpenzi wangu alinipa tuzo ya Baloon D'or kwa utaalam wangu wa kubip, yaan ule mwanga wa simu unawaka tu hata haijaita nshakata. Lol, kubip kawaida kwani haki sawa kwa wote na kuishiwa si jambo geni aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom